Kwenye hiyo I'd yangu sister hadi RRONDO alikujaAiseee!!! Hapa mdogo tu ninae!
Kwenye hiyo I'd yangu sister hadi RRONDO alikujaAiseee!!! Hapa mdogo tu ninae!
Toka umeanza kujiuliza umefanikiwa kupata majibu?najiulizaga sana hili swali
Anakosaje kwa mfano[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Naona leo umemuamulia, vipi sumbai hakuja?
sijawahi pata jibu kama unalo niambie tuToka umeanza kujiuliza umefanikiwa kupata majibu?
Aiseee hata sitakagi kujiuliza mambo mengi maana ubongo wangu wenyewe wa samaki[emoji6]sijawahi pata jibu kama unalo niambie tu
Mada yako imemgusa maana nae alifungua uzi kwa id mpya.Hiki kibinti nacho sijui nani kakiita...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Aiseee hata sitakagi kujiuliza mambo mengi maana ubongo wangu wenyewe wa samaki[emoji6]
Shikamoo kaka upendapo kujua hali yangu mie ni mzima.Hofu na mashaka ni kwa yule dada anayeishiwa na fa sijui anaendeleaje???Hiki kibinti nacho sijui nani kakiita...
Mwenzangu ni shidaaas[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Vingine hata sio vya kujiuliza, utajiuliza vingapi sasa!!