Kwanini ID mpya tu ndio zinatafuta mchumba?!

Kama unatumia app ya JF. Kwa juu kule upande wa kulia vidoti vitatu ukitachi pale inakuja options mojawapo ndio hiyo register. Ukifungua hiyo register inakuletea vitu vya kujaza mpaka usajili unakamilika
Oooh hebu ngoja nitajaribu then taleta mrejesho!
 
Hivi wale wenye ID tulizozoea ndio kusema hawana shida ya wachumba au ndio hawa wanakuja kivingine? Mimi siku nikiona old ID kama ya miss chagga atoto Valentina zinatafuta mchumba nachangamkia fursa faster!
Ni hao hao akina wakongwe... wanaona noma kutumia ID zao kongwe kutafuta wachumba, hivyo wanaamua kutumia mpya..
 
Jf kupata new member wa kiukweli ni ngumu sn.Mie najua Ni walewale
 
Sasa wanaogopa nini kuja na ID zile zile?! Kuna nini wanaficha hata waogope fake ID zao?
 
Hivi wale wenye ID tulizozoea ndio kusema hawana shida ya wachumba au ndio hawa wanakuja kivingine? Mimi siku nikiona old ID kama ya miss chagga atoto Valentina zinatafuta mchumba nachangamkia fursa faster!
mkuu pm imefika page ya 2,000 huko wanatutafuta kwa hiyo siku nikitaka mchumba naenda kupitia moja moja nione aliyejielezea vizuri sababu wale walisema wanakakipato sijawajibu vibaya,.......... lingine napitaga jukwaa la biashara na ujasiria mali najipendekeza kule nawafuata pm huwa nikiona fursa natongoza
 
Ndio maana nilikutaja hapo nilijua hutaniangusha. Wewe najua huna sababu ya kutafuta, kila siku unatafutwa. Application yangu najua bado unayo, nikitimiza kile kiwango cha pesa nakuja.
 
fanya hima aisee kuna jamaa mmoja namvizia kule jukwaa la biashara kule
 
Back
Top Bottom