Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Hahaaaa umetisha mkuu JF sipakumwamini mtu , watu wale wale but with different ID'sChupi mpya tako la zamani
sijawahi ila nataka siku niandike sijui nitapata sbbu wanaotafta hawajawai leta mrejeshoWewe hujawahi kutafuta mchumba humu?![]()
![]()
Huyo bila kutafuta PM ishafikisha page 2000!
Ni balaa tupu. Pia majina yana nafasi kubwa.Weka bandiko siku moja ukipata leta mrejesho humu.sijawahi ila nataka siku niandike sijui nitapata sbbu wanaotafta hawajawai leta mrejesho
nitaleta mrejesho wala usijariWeka bandiko siku moja ukipata leta mrejesho humu.
Itabidi nifungue id nyingine kwa ajili ya bandiko hilo aiseenitaleta mrejesho wala usijari
Nasubiri tangazo lako hapa.
Huyo bila kutafuta PM ishafikisha page 2000!
Tatizo lako hukuweka picha yako ndo maana tukawa na mashaka na jinsia yako (she male)mbona mimi nilitafuta na id yangu na sikupata jamani?
ha ha haah wala usihangaike kuja na id mpya ww acha hiyohyo ya zaman kikubwa mfate vigezo na mashartItabidi nifungue id nyingine kwa ajili ya bandiko hilo aisee
Mmh RRONDO ila nitakuja kuleta bandiko languHuyo bila kutafuta PM ishafikisha page 2000!
Ila vigezo isiwe akufukuzaye hakwambii toka aisee.ha ha haah wala usihangaike kuja na id mpya ww acha hiyohyo ya zaman kikubwa mfate vigezo na mashart
Nitakutumia my sisterJf kuna upendeleo, hizo pm mnatumiana wenyewe tu!
WEE vipeeeeeeWanapitia mlango wa nyuma.
Inawezekana kabisa mkuuSame expert members in new faces