Kwanini ID mpya tu ndio zinatafuta mchumba?!

Kwanini ID mpya tu ndio zinatafuta mchumba?!

Mimi kama nataka mtu wa kupeana raha natangaza hapa hapa bila kubadili ID. Kwani cha ajabu ni nini?
 
Unataka kuniambia toka ujiunge hujawahi pata pm kweli?

Hahahah nahisi umepata nyingi sana ila ngoja nikuongezee idadi
Huyo mimi peke yangu nishamtumia PM pages 25!
 
Mimi kama nataka mtu wa kupeana raha natangaza hapa hapa bila kubadili ID. Kwani cha ajabu ni nini?
Ngoja nisubiri hio siku.🙂🙂
 
Hata Mimi nilishatafuta mchumba kwa new I'd teh teh..
Pm zake sasa
 
Ndio maana nilikutaja hapo nilijua hutaniangusha. Wewe najua huna sababu ya kutafuta, kila siku unatafutwa. Application yangu najua bado unayo, nikitimiza kile kiwango cha pesa nakuja.
Nishakublock . humpati miss chagga
 
Back
Top Bottom