Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Wiii nimestukaje maana kondoo wa Bwana tutapata shida sana!!!!!!!
Mi kuna dem mmoja yeye akikaribia alikuwa anasema "naliiza"
Mnajua maana yake?
Hebu mtafuteni mwallu Kaunga , Evelyn Salt au miss neddy wawaambieni ...lol!!!!!!!!!!!
Umbuje onga?
am out of here
Lakini huyu paroko tuliyenaye naye ni masnura matupu ujue
waenda wapi!!!!!!!!!!!
waenda wapi!!!!!!!!!!!
Are you coming Mama Kijacho?
Kuna wengine wanakuwa na uchizi unapigwa ngumi zakutosha au kukwaruzwa na makucha yao marefu!!utajuta usiombe yakukute....Nasikia mmoja walienda ukweni wakapewa Chumba sasa demu akamuwekea ngumu jamaa kuwa hapana hapa nikwetu sikupi maana utaanza kulia bure tupate aibu!...Jamaa akamwambia mkewe aky'anani silii basi akapanda honda yake unaambiwa aliposikia wazungu wanakuja akaangua kilio akisema "Si-si-nimekwa-kwa-mbiaaa sili siliii" hadi Baba mtu akaamka nakugonga vipi huko salama?? Mtoto wake wakike akasema huyu anaota kaanguka chini kutoka kwenye kitanda!!!:mod:
Nilidhani nikishuhudia akisimika kumbe akisimikwa .........
yes nakuja........nisubirie
Ni wedi maya.
Hongea.
Are you coming Mama Kijacho?