Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,139
Shhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!
Wewe taratibu mimi ni paroko.....lol!!!!!!
Ngoja J'pili ifike ndio utajua kuwa wewe ni paroko bado au la!
Shhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!
Wewe taratibu mimi ni paroko.....lol!!!!!!
Ngoja J'pili ifike ndio utajua kuwa wewe ni paroko bado au la!
Umesoma nilichoandika ukakielewa??
Nilidhani nikishuhudia akisimika kumbe akisimikwa .........
Si kwenye maombi????
Njoo unikague kama nasema uongo .....!!!!!!!
Uwiiii!
Yaani wewe,Mungu akutetee tu
Tena siku nyingi sijafanya maombi na wewekwa hiyo kwenye maombi siku hizi kuna kuna............
dh sijaja siku nyingi parokiani naona kanuni zimeshabadilishwa
nakuja andaa vitendea kazi kabisaaaaaaaaaaa
Mbona kama umestuka wii?
Tena siku nyingi sijafanya maombi na wewe
Hebu fanya fasta uje.....
Wewe hua ni mzuri sana kwenye maombi ya kukesha
Huwa huchoki kabisaaaaaaaa
Hebu njoo bana ......!!!!!!!!!
Mbona kama umestuka wii?