Kwanini hivi jamani...

Mzee wengine tumetumwa kutongoza JF.... huwanajitahidi basi angalau kwa week nitongoze 5 hapo randomly nitachezea vya mbavu vi3 vi2 nitakubaliwa.
 
Yeah enjoy best.. life z short.. need to live it to the fullest....

Mimi nipo hapa nafatilia maendeleo ya MMU
Thanks friend........nami nipo tu hapa [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] naangalia tu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Nacheka kwa dharaaaaaaaaaaaaaaaaauuuu

Mahondaw wa Smart911
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] umepotea sana siku hizii...

kweli kabisa yapo jana na leo lakini yanakeraa sana ujue HOE...!!!



sent from motorola bapa and nokia jeneza
Nalea matwins.. ndio maana nimekua adimu dear
 
kile kikristo cha Karucee sijawahi hata kumfikiria sijui hata pa kuanzia
najua no zitakua nyingi sitaki tabu
Unajua bana, kipindi cha nyuma I used to think kwamba JF couples ni just a big online joke. So I played along.

Kuja kugundua its actually real na watu wanakutan a wanafall in love na wanaachana. Hapo ikabidi nipige u-turn.

I am a married woman with two kids. I cannot afford to play such dangerous games.

So nikiona PM zaidi ya salamu and bye bye I just ignore and if they persist I ask them politely to back off.
 
Mzee wengine tumetumwa kutongoza JF.... huwanajitahidi basi angalau kwa week nitongoze 5 hapo randomly nitachezea vya mbavu vi3 vi2 nitakubaliwa.
hahah hapo unacheza na hesabu za probability,kila la kheri mkuu,different strokes for different folks.mie ni mhafidhina kwenye maswala ya kutongozana,kama sjamuona live ama picha zake (tena nkahakikisha ni za kwake kweli) bas siwezi kumtongoza hata siku moja.
 
Tchaaaa

Kumbe huko piemu kuna mambo mazito





Umbea gani mnanishika? Wewe ndiyo mnafiki unashindwa kuonyesha unafiki Wa Daby.

Siri zipi nilitoa au unaandika tu ilimradi umeandika? Kumwambia mtu fulani anakuja kujitetea nazo ni siri?

Kumbe uzi wa Daby uliusoma eeh. Haya msomaji wa Nyuzi zangu.

 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
sent from motorola bapa and nokia jeneza we mtu ndio mhenga kweli ? yaani hizo ndizo sim pendwa zako ? mbona mbili kwa mpigo mkuu
eeehhh...natumia zote hzo kwa muda mmoja[emoji12]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…