Bandu Ncheche
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 512
- 326
- Thread starter
- #41
Piteni tuTuliokulia kwa kuogea kwenye bathtub tunakomenti wapi?
Piteni tuTuliokulia kwa kuogea kwenye bathtub tunakomenti wapi?
Sawa dogo,kwanini sasa na dada yangu asimheshimu wifi yake?Mheshimu shemeji yako wewe dogo
Yaaani nami nisamehe saaana ze Kibamia jamaaani...Hahahahahaaa..Lakini si niliomba msamaha Mrs mtera ha ha ha ha
NIsamehe tena siwezi kuogelea wala ujuzi sina
Nisamehe tena
Yaaani nami nisamehe saaana ze Kibamia jamaaani...Hahahahahaaa..
Hupendi vibamia eeh?Yaaani nami nisamehe saaana ze Kibamia jamaaani...Hahahahahaaa..
Heheheeee....Bwawa na Bamia wapi na wapi..!! Unaenda wapi tulia hapa hapa...Hahahahahaa..!!Nimetokea kukupenda ghafla sinyora hapa sio mahala pake sweetie wacha niende sehemu sahihi
Umeshaona wanawake wa Enswati? Maziwa kuwa nje kwa Waafrika si issue. Unamnyonyesha mtoto na Baba mkwe yuko hapo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kwanini iwe halali kuona kinachomnogesha Kaka yako?maziwa yako nje nje nayo ni sehemu ya unogeshaji
Unamwambie mwanaume mwenzio "NIMEKUMISS"🤣🤣🤣🤣🤣Mimi nashangaa wanawake wanaweza vipi kukumbatiana na kubusiana.. wakati mwanaume akimwambia rafiki yake nimekukumbuka anaweza kupigwa block
Yaani haya mambo pasua kichwa Sana" Dada kumwambia Kaka yake "NIMEKUMISS" ni kawaida sana,ila mtu na mdogo wake wa kiume kuambizana "NIMEKUMISS" sijawahi kusikiaUnamwambie mwanaume mwenzio "NIMEKUMISS"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Heheheeee....Bwawa na Bamia wapi na wapi..!! Unaenda wapi tulia hapa hapa...Hahahahahaa..!!
Hizi laana zinafanya kazi kweli?Acha kuchungulia watu wazima, utaachiwa laana.
Siyo utamaduni wetuYaani haya mambo pasua kichwa Sana" Dada kumwambia Kaka yake "NIMEKUMISS" ni kawaida sana,ila mtu na mdogo wake wa kiume kuambizana "NIMEKUMISS" sijawahi kusikia
Haya Moyo NdemaSiyo utamaduni wetu
Kwa sababu viungo vyetu vya uzazi vimefichwa na kwenu viko nje. Sasa uoge na shemeji uone kinachomnogesha dada yako!
Wakioga pamoja vibamia vitakosa ujasiri...Vitateseka saaana.
Moyo Ndema ndiyo nini Mkuu?Haya Moyo Ndema
Kwa kikwetu Ndumbula (ni Moyo)karibu Kalonga MalawiMoyo Ndema ndiyo nini Mkuu?