City Of Lies
Platinum Member
- Sep 8, 2011
- 6,073
- 7,989
Aisee! Nimecheka sana hii comment.Kwa sababu viungo vyetu vya uzazi vimefichwa na kwenu viko nje. Sasa uoge na shemeji uone kinachomnogesha dada yako!
😂😂😂
Aisee! Nimecheka sana hii comment.Kwa sababu viungo vyetu vya uzazi vimefichwa na kwenu viko nje. Sasa uoge na shemeji uone kinachomnogesha dada yako!
We jamaa nimecheka sana duh!![emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku zako zinahesabika - Kangi Lugola.
[emoji3] [emoji3] umefikiria sanaa, sikuhisi hii ingeweza kuwa sababu[emoji3]Kwa sababu viungo vyetu vya uzazi vimefichwa na kwenu viko nje. Sasa uoge na shemeji uone kinachomnogesha dada yako!
Unamaanisha viungo vina masikio mkuu? Khaa[emoji3] [emoji3]Sio kutuna tu wengine hata akisimama unaona misikio imechomoza nje
Sio hivyo tu, pia tunaitana majina kama mpenzi,darling sweetheart bila tatizo kabisa.Mimi nashangaa wanawake wanaweza vipi kukumbatiana na kubusiana.. wakati mwanaume akimwambia rafiki yake nimekukumbuka anaweza kupigwa block
😂😂😂🙌Sio kutuna tu wengine hata akisimama unaona misikio imechomoza nje
Nadhani hili ndio jibu sahihi.. wanawake sehemu zao zipo ndani.. mwanaume mkuyange unaweza simama ikawa shida.Kwa sababu viungo vyetu vya uzazi vimefichwa na kwenu viko nje. Sasa uoge na shemeji uone kinachomnogesha dada yako!
Wmanamke akiwa amesimama huwezi kuona K yake.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kwanini iwe halali kuona kinachomnogesha Kaka yako?maziwa yako nje nje nayo ni sehemu ya unogeshaji
Sasa mnawezaje asee.. unaweza kwambia baba yako nakupenda baba akaona hapa hana mtotoSio hivyo tu, pia tunaitana majina kama mpenzi,darling sweetheart bila tatizo kabisa.
Kupanga zausili bwezi.......😂Kwa kikwetu Ndumbula (ni Moyo)karibu Kalonga Malawi
Duu kwahiyo ukipaka mafuta mgongoni na makalioni tafsiri yake nini?Kwa wanaume kuna vitu ambavyo ni mwiko kufanya mfano kuvua nguo mbele ya wanaume/ mwanaume mwenzio, ikitokea mazingira yanakulazimu basi mwanaume huwezi kumuangalia mwanaume mwenzio akiwa uchi it feels so wrong and girly, ni sawa na mwanaume kupakaa mafuta mgongoni au makalioni, au kuwa all touchy lazima uzinguliwe! Kuambiana tu tunapendana ni so weird... those shits are for white people not us black. Especially kuonekana tako dah hio ni not normal kabisa, tako ni sehemu sacred kwa mwanaume that only he can touch napo akiwa anaoga au akiwa toilet.
Mimi nashangaa wanawake wanaweza vipi kukumbatiana na kubusiana.. wakati mwanaume akimwambia rafiki yake nimekukumbuka anaweza kupigwa block
Weeee kuna wengine vya kwenu vimetuna hivyo
Yeah mkuu kuna nanii zina masikio makubwa utasema ya ndovuUnamaanisha viungo vina masikio mkuu? Khaa[emoji3] [emoji3]
Sky Eclat, [emoji23]mi hata kuoga na marafiki huwa sitaki aise tokea kitambo,
kipindi cha o level wale jamaa wakaa uchi dorm nilikua nawazingua
Kwahiyo wanawake wanakuwa na urafiki wa kihisia?(Lesbian)Wanaume marafiki hawawezi kutengeneza ukaribu kihisia kama marafiki wa kike wanavyofanya, hiyo ndio sababu
....au shoga bila shida yoyoteSio hivyo tu, pia tunaitana majina kama mpenzi,darling sweetheart bila tatizo kabisa.