Kwanini haya maeneo kwa Wilaya ya Kinondoni ni Kivutio cha Ajali mbaya na za Ajabu ambazo huwa hazijeruhi tu bali huua kabisa Wahusika?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
1. Kipande cha Mikocheni B kwa Warioba hadi njia panda ya Clouds au Coca Cola

2. Supa Lugalo

3. Bondeni Kawe

4. Makonde

5. Kona ya Goba ukimaliza lilipo Kanisa Katoliki

6. Afrikana

7. Mbuyuni njia panda kuelekea Kunduchi, Bahari Beach na Ununio

Na kwa Taarifa tu haya maeneo yote tajwa Saba ( 7 ) hapa japo kuwa na Sifa za Kutoa Ushirikiano wa haraka wa Kufa kwa Israeli Mtoa Roho ila kwa Wiki iliyoisha yametia Fora kwa Kutokea kwa Ajali kote na Wahusika nao hatunao tena Duniani.

Ikiwezekana tafadhali hawa Waombaji Wageni nchini wa FAITH, LOVE and MIRACLES ( yaani IMANI, UPENDO na MIUJIZA ) ikiwezekana kabla hawajamaliza Huduma yao hapa Dar es Salaam wapelekwe haya maeneo ili Wakayaombee.

Na cha Kusikitisha zaidi nyakati za Usiku kuanzia Saa 7 mpaka Saa 9 ukitembelea Maeneo tajwa lazima tu utakutakana na Watu Matajiri hapa Mjini, Viongozi na Mabosi Ofisini wakioga Uchi wa Mnyama huku Mageti ya Kwao yakiachwa Wazi ili wakimaliza tu au wakiona wameonekana basi watoke Mbio Kukimbia.

Wewe Mbunge ( sikutaji ) uishie kati ya Goigi ( Samaki ) na Makonde ( Jirani na kilipokuwa zamani Chuo cha Computer ) cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pamoja na Wewe Mzee ( Boss wa Benki Moja maarufu iliyemtoa Shemeji wa Mstaafu wa Kimedani ) badilkeni, mtumainini Mwenyezi Mungu ( Allah ) na acheni Kufanya Makafara yenu.

Hebu tuyaombee sana tu haya Maeneo.
 
Mtu anategesha misumari na kupasua tairi za watu mnasema uchawi, washtakiwe tu kama wanafahamika
 
Back
Top Bottom