JaffarMohammed
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 762
- 283
Yaani we unalalamika kuhusu kufunga dirisha. Sisi kuna siku ndege ilizimika hewani ikakataa kuwaka ikabidi tushuke wote tuisukume.
Utaonekana bosi na mimi dereva wako .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....kwanini mkuu
D.B ktk ubora wako1. Nadhani viyoyozi vyao ni vibovu sasa ili kuokoa gharama lazima wafungue madirisha ili abiria wapate upepo.
2. Pia, kama kuna mama mja mzito kama akitapika iwe rahisi kwake asiteseke
Na hili suala wewe sio wa kwanza kulalamika, mimi binafsi nilishawaandikia barua kwamba angalau kama ni kufungua madirisha basi yawe machache tofauti na sasa maana ni mara chache kukuta wanawake wenye mimba wamepanda ndege wengi...
Dah hivyo vituo umenikumbusha mbali, Nitarudi Moshi....yewee[emoji23]Unaongelea ndege au haice ya kwasadala,boma,sanya?
Watakuwa na sababu zaod.Hebu nyie wajuvi wa aviation mtuambie hapa kwanini,hawa jamaa wanazuia,maswali mengine ukiwauliza wanakujibu mkato eti wanataka mwanga,mbona wengine unafunga fresh tu hawamind ,mi nikikaa dirishani sipendi kabisa kuona mawingu,sasa mshamba mie mnanisaidiaje!
Ndo maana wenzio wanakutombaMakosa ni ya mtoa mada,, mimi sina kosa hapo... Kwani kufungua dirisha maana yake ni kufungua pazia la dirisha???