Kwanini Fastjet wanazuia usifunge madirisha

Ni utaratibu wa ndege zote, wakati wa kupaa na kutua madirisha lazima yawe wazi, sababu kubwa ni za kiusalama kuwa, endapo ndege itapata dharura yoyote basi kikawaida ni muda mfupi sana unaotakiwa kuwatoa watu wote ndani ya ndege, hivyo madirisha yakiwa wazi
1: inakuwa ni rahisi sana kwa watu wa ndani ya ndege kuona nje na kuweza kupanga jinsi ya kujisaidia
2: inakuwa ni rahisi sana kwa waokoaji wa nje kuona ndani ya ndege na kuweza kupanga aina ya msaada unaohitajika ili watu waliomo ndani ya ndege waokolewe kwa muda mfupi na kwa uslama
Asante mkuu
 
Mimi sijui mambo ya ndege ila kwa kutazama NatGeo najua ndege zinapishana kwa altitude. Yaani moja inapita 1000ft above/below the other.

Air traffic controller ndio anawapangia in case wanapita karibu karibu. Kwahio abiria sio rahisi kuiona ndege ingine mkipishana, labda uione far far away inapita.
It's possible kuona ndege nyingine mkipishana, kuna wakati air traffic controller anaweza kuwapishanisha at the same altitude but miles apart, tena uzuri hata rubani anaweza kuwataarifu kabisa kuwa mliopo left/right mnaweza kuona ndege ABC ikielekea XYZ...nakumbuka when air force one ilivyojet Dar.
 
1. Nadhani viyoyozi vyao ni vibovu sasa ili kuokoa gharama lazima wafungue madirisha ili abiria wapate upepo.
2. Pia, kama kuna mama mja mzito kama akitapika iwe rahisi kwake asiteseke

Na hili suala wewe sio wa kwanza kulalamika, mimi binafsi nilishawaandikia barua kwamba angalau kama ni kufungua madirisha basi yawe machache tofauti na sasa maana ni mara chache kukuta wanawake wenye mimba wamepanda ndege wengi...
Bashite kavamia kambi
 
Ikiwa mbali pia unaweza usijue iko juu au chini zaidi yenu.
 
Ndege huwa hazipishani side by side. Zinapishana up ana down. Otherwise ziwe zinatua ama kupaa. Lakini kule mbali kweusi ninakubishia coz nina interest sana na urubani huwa nagoogle kupita maelezo
 
1. Nadhani viyoyozi vyao ni vibovu sasa ili kuokoa gharama lazima wafungue madirisha ili abiria wapate upepo.
2. Pia, kama kuna mama mja mzito kama akitapika iwe rahisi kwake asiteseke

Na hili suala wewe sio wa kwanza kulalamika, mimi binafsi nilishawaandikia barua kwamba angalau kama ni kufungua madirisha basi yawe machache tofauti na sasa maana ni mara chache kukuta wanawake wenye mimba wamepanda ndege wengi...
Ha ha ha
Nadhani wewe umechanganya mambo ya ndege na magari.
wanaongelea ndege ya fast jet na sio daladala ya mbagala.
 
1. Nadhani viyoyozi vyao ni vibovu sasa ili kuokoa gharama lazima wafungue madirisha ili abiria wapate upepo.
2. Pia, kama kuna mama mja mzito kama akitapika iwe rahisi kwake asiteseke

Na hili suala wewe sio wa kwanza kulalamika, mimi binafsi nilishawaandikia barua kwamba angalau kama ni kufungua madirisha basi yawe machache tofauti na sasa maana ni mara chache kukuta wanawake wenye mimba wamepanda ndege wengi...
N A A N T O M B E M U S H I [emoji23]
 
Mi napendelea sana kuweka viwiko dirishani! Ntaanza kupanda hiyo ndege......Halafu nyie mnaobisha ndege haiwezi kufunguliwa madirisha siwaelewi kabisa,kwani mtoa mada hamjamuelewa au hamjui maana ya madirisha.
 
1. Nadhani viyoyozi vyao ni vibovu sasa ili kuokoa gharama lazima wafungue madirisha ili abiria wapate upepo.
2. Pia, kama kuna mama mja mzito kama akitapika iwe rahisi kwake asiteseke

Na hili suala wewe sio wa kwanza kulalamika, mimi binafsi nilishawaandikia barua kwamba angalau kama ni kufungua madirisha basi yawe machache tofauti na sasa maana ni mara chache kukuta wanawake wenye mimba wamepanda ndege wengi...
Naantombe Mushi hilo jina lako la kwanza hilo nimelipenda sana.
 
Mkuu hiyo namba 1 hebu jaribu kuona aibu japo kidogo tu! Ndege ifunguliwe madirisha ili hewa iingie ndani??! Kitu kinaenda speed ya 600-700 kph ufungue dirisha?! Mleta mada amekusudia kufungua lile cover ambalo ni kama "Pazia" tu ambalo wewe umefikiri ni kufungua dirisha!
mambo ya gahawa. niliwahi kuamini kila member jf alishapanda ndege. haya ni baadhi ya majibu kunitoa kwenye dhana ile.
 
Hata SAA hawaruhusu wakati wa kupaa na kutua,mambo yakiusalama zaidi naona! Kuna siku angani tulipalishana na dege la mizigo kubwa kabisa alafu kwa ukaribu mpk Leo cjaelewa ilikuaje!
Hahaha karoho kakadunda
 
1. Nadhani viyoyozi vyao ni vibovu sasa ili kuokoa gharama lazima wafungue madirisha ili abiria wapate upepo.
2. Pia, kama kuna mama mja mzito kama akitapika iwe rahisi kwake asiteseke

Na hili suala wewe sio wa kwanza kulalamika, mimi binafsi nilishawaandikia barua kwamba angalau kama ni kufungua madirisha basi yawe machache tofauti na sasa maana ni mara chache kukuta wanawake wenye mimba wamepanda ndege wengi...
afadhal viroba vimefungiwa aisee...
 
Ikiwa mbali pia unaweza usijue iko juu au chini zaidi yenu.
Ni kweli, lakini tofauti ya altitude ikiwa ndogo mtu hawezi kutambua kwa sababu ya vast space ya anga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom