Kwanini Fastjet wanazuia usifunge madirisha

Mkuu hiyo namba 1 hebu jaribu kuona aibu japo kidogo tu! Ndege ifunguliwe madirisha ili hewa iingie ndani??! Kitu kinaenda speed ya 600-700 kph ufungue dirisha?! Mleta mada amekusudia kufungua lile cover ambalo ni kama "Pazia" tu ambalo wewe umefikiri ni kufungua dirisha!
Makosa ni ya mtoa mada,, mimi sina kosa hapo... Kwani kufungua dirisha maana yake ni kufungua pazia la dirisha???
 
Hebu nyie wajuvi wa aviation mtuambie hapa kwanini,hawa jamaa wanazuia,maswali mengine ukiwauliza wanakujibu mkato eti wanataka mwanga,mbona wengine unafunga fresh tu hawamind ,mi nikikaa dirishani sipendi kabisa kuona mawingu,sasa mshamba mie mnanisaidiaje!
Umewauliza wao mkuu
 
Mkuu hiyo namba 1 hebu jaribu kuona aibu japo kidogo tu! Ndege ifunguliwe madirisha ili hewa iingie ndani??! Kitu kinaenda speed ya 600-700 kph ufungue dirisha?! Mleta mada amekusudia kufungua lile cover ambalo ni kama "Pazia" tu ambalo wewe umefikiri ni kufungua dirisha!
Nadhani anafanya utani kufurahisha jukwaa. I don't think yuko serious
 
1. Nadhani viyoyozi vyao ni vibovu sasa ili kuokoa gharama lazima wafungue madirisha ili abiria wapate upepo.
2. Pia, kama kuna mama mja mzito kama akitapika iwe rahisi kwake asiteseke

Na hili suala wewe sio wa kwanza kulalamika, mimi binafsi nilishawaandikia barua kwamba angalau kama ni kufungua madirisha basi yawe machache tofauti na sasa maana ni mara chache kukuta wanawake wenye mimba wamepanda ndege wengi...
Mkuu, kwani ukifungua kunakuwa wazi kiasi cha kuweza kutoa mkono nje na upepo kupita!? Acha hizo bn
 
Kama ulishapanda ungeuliza siku ileile ndani ya ndege. Huku nje utapata majibu hewa
 
Nadhani anafanya utani kufurahisha jukwaa. I don't think yuko serious
Mkuu jamaa yupo serious,msome tena kwenye comment yake#43 tena anasema alishawaandikia na barua ya kulalamika kua waruhusiwe japo kufungua madirisha machache!!!!
 
Inaonekana hujawahi kupanda ndege hata siku moja,ila usijali siku ukipanda utajua tu,toka lini dirisha la ndege likafunguliwa?!!!
Nilikuwa natania tu mkuu, usichukulie serious sana.. Ki physics huwezi kufungua dirisha la ndege upepo ukaingia ndani.. ndege itapuputika na kufumuka yote.. nilikuwa natania tu
 
1. Nadhani viyoyozi vyao ni vibovu sasa ili kuokoa gharama lazima wafungue madirisha ili abiria wapate upepo.
2. Pia, kama kuna mama mja mzito kama akitapika iwe rahisi kwake asiteseke

Na hili suala wewe sio wa kwanza kulalamika, mimi binafsi nilishawaandikia barua kwamba angalau kama ni kufungua madirisha basi yawe machache tofauti na sasa maana ni mara chache kukuta wanawake wenye mimba wamepanda ndege wengi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wabongo bana unadhani abood hiyo uache madirisha waz, aiseee nimevunja mbavu.
 
Nilikuwa natania tu mkuu, usichukulie serious sana.. Ki physics huwezi kufungua dirisha la ndege upepo ukaingia ndani.. ndege itapuputika na kufumuka yote.. nilikuwa natania tu
Naona baada ya kuulizia huko umekuja kivingine!! teh! teh! Nimekosoma aisee, usijali.
 
Mkuu usijipe credit kwa issue kama hii... amini nachokuambia.. ndege nimepanda ruti nyingi sana na nina uelewa wa ki fiziksi ni kwanini huwezi kufungua kioo cha ndege,... as i said, nimetania tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom