Kwanini Fastjet wanazuia usifunge madirisha

Kwanini Fastjet wanazuia usifunge madirisha

Hata SAA hawaruhusu wakati wa kupaa na kutua,mambo yakiusalama zaidi naona! Kuna siku angani tulipalishana na dege la mizigo kubwa kabisa alafu kwa ukaribu mpk Leo cjaelewa ilikuaje!
Jamaa alikuwa ana overtake tu huyo pengine
 
Mkuu hiyo namba 1 hebu jaribu kuona aibu japo kidogo tu! Ndege ifunguliwe madirisha ili hewa iingie ndani??! Kitu kinaenda speed ya 600-700 kph ufungue dirisha?! Mleta mada amekusudia kufungua lile cover ambalo ni kama "Pazia" tu ambalo wewe umefikiri ni kufungua dirisha!
Huyu jamaa
1. Alikuwa anatania kama sio
2. Alidhani fastjet ni kama "bembea", "simba mtoto", "al saedy", "taqwa" na mengineyo....
3. Kaamua tu kujibu hivyo. Si mnajua jf kuna akili za aina mbali mbali kama magari yalivyo ya aina mbali mbali...

****pengine huyu ni yale "mafiat".
 
Airline zote wakati ndege inaruka na kutua ni sheria madirisha lazima yae wazi, kama ulikuwa umelaza kiti basi ukiweke straight, kama una airphone uziondoe masikioni, kama una kifaa chochote cha electronic sharit kizimwe kama camera, simu, computer nk.
 
1. Nadhani viyoyozi vyao ni vibovu sasa ili kuokoa gharama lazima wafungue madirisha ili abiria wapate upepo.
2. Pia, kama kuna mama mja mzito kama akitapika iwe rahisi kwake asiteseke

Na hili suala wewe sio wa kwanza kulalamika, mimi binafsi nilishawaandikia barua kwamba angalau kama ni kufungua madirisha basi yawe machache tofauti na sasa maana ni mara chache kukuta wanawake wenye mimba wamepanda ndege wengi...
Duh wewe hujielewi. Yaan ac kuwa mbovu ufungue madirisha then iweje. Madirisha ya ndege ni sealed na sound proof. So ukifungua maana yake sio kuingiza upepo
 
Hata ukiingia kwenye ndege, acha hizi za domestic za kwetu. Kuna tv mbele yako unaweza kuona nje, chini ya ndege, juu kwenye mabawa na kila sehemu
 
Mimi nakumbuka flight za usiku ndege ikiwa hewani huwa wanasema tufunge, kwenye landing wengi nikiwamo mimi tunafungua ili kuona nice view kama mabati yenye kutu maeneo ya kipawa!
Uuuwi mabati yenye kutu, nakumbuka natoka sehemu. Nimepiga picha viwanja vyote nlivyotua. Nimefika tz nikapiga picha visiwa vya zanzibar ile tunafika kutua airport nikaona mabati ya kuzeeka hata sikuwa na ham. Vibarabara utafikiri njia za ngombe
 
Nilikuwa natania tu mkuu, usichukulie serious sana.. Ki physics huwezi kufungua dirisha la ndege upepo ukaingia ndani.. ndege itapuputika na kufumuka yote.. nilikuwa natania tu
Haiwezi kufumuka bwana sema vitu yote hurushwa nje kupitia dirisha
 
Kuna ndege ilishawahi kutua salama ikiwa paa lote limefumuka
 
Kuna ndege ilishawahi kutua salama ikiwa paa lote limefumuka
Somewhere in Honolulu/Hawaii I guess. Sio paa lote ila sehemu kubwa ilinyofoka na vitu kadhaa vikapotelea kwa Mungu.
 
Dah! sijawahi kupanda ndege, yaani ninavyosoma hapa najihisi kama vile nipo ndani ya ndege yaan
 
Hata SAA hawaruhusu wakati wa kupaa na kutua,mambo yakiusalama zaidi naona! Kuna siku angani tulipalishana na dege la mizigo kubwa kabisa alafu kwa ukaribu mpk Leo cjaelewa ilikuaje!
Jf hii..? Yani na cruising speed ya Ndege zote mbili bado ukaiona Ndege kubwa ya mizigo mkipishana??? Jaribu kuwaza ilivyo ngumu kusoma hata plate namba ya bus kama mbapishana wote mkiwa na speed ya 80kph, sasa itakuwaje Ndege ambayo mbaweza kuwa above 700kph??? Hapa ni kuandika TU kila MTU aonekane anajua.
 
Kabla hujaiona hiyo ndege mtakuwa mmeshacrash. Huyu jamaa mwongo kupindukia
 
Kwanza ndege kupishana haiwezekani coz ndege ikipewa hiyo njia haitolewi kwa ndege ingine
 
Jf hii..? Yani na cruising speed ya Ndege zote mbili bado ukaiona Ndege kubwa ya mizigo mkipishana??? Jaribu kuwaza ilivyo ngumu kusoma hata plate namba ya bus kama mbapishana wote mkiwa na speed ya 80kph, sasa itakuwaje Ndege ambayo mbaweza kuwa above 700kph??? Hapa ni kuandika TU kila MTU aonekane anajua.
Mimi sijui mambo ya ndege ila kwa kutazama NatGeo najua ndege zinapishana kwa altitude. Yaani moja inapita 1000ft above/below the other.

Air traffic controller ndio anawapangia in case wanapita karibu karibu. Kwahio abiria sio rahisi kuiona ndege ingine mkipishana, labda uione far far away inapita.
 
1. Nadhani viyoyozi vyao ni vibovu sasa ili kuokoa gharama lazima wafungue madirisha ili abiria wapate upepo.
2. Pia, kama kuna mama mja mzito kama akitapika iwe rahisi kwake asiteseke

Na hili suala wewe sio wa kwanza kulalamika, mimi binafsi nilishawaandikia barua kwamba angalau kama ni kufungua madirisha basi yawe machache tofauti na sasa maana ni mara chache kukuta wanawake wenye mimba wamepanda ndege wengi...
Kiufupi hiyo hufanyika ili kuimarisha usalama wa anga,. So acha kulalamikia hatua zinazochukuliwa ili wewe/mwenzio mfike salama.
 
Haiwezi kufumuka bwana sema vitu yote hurushwa nje kupitia dirisha
Unafanya utani wewe, hakuna hewa yoyote ya nje inaruhusiwa kuingia ndani ndege ikiwa hewani, mtapukutishwa kama karatasi.
 
Kuna ndege nyingine nilipanda walinikataza kufunga madirisha!!! Sijui kwanini pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom