Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 717
- 1,536
Jifanye hujui fungua mpaka kioo
Sidhani kama unaposema "kufungua dirisha" una maanisha kufungua mpaka hewa ya nje iingie ndani,bali ni kufungua lile "cover" la plastic tu ili usione nje,Hili ni suala la safety precaution au safety procedure,mfano hata kama kuna moto ndio unaanza kwenye engine basi itakua ni rahisi kuuona na kutoka report kwa cabin crew.
Nafikiri alimaanisha zile window shadesHivi madirisha ya ndege yanafunguka? Ngoja nikipanda nijaribu kufungua niweke kishoka!
Mimi nakumbuka flight za usiku ndege ikiwa hewani huwa wanasema tufunge, kwenye landing wengi nikiwamo mimi tunafungua ili kuona nice view kama mabati yenye kutu maeneo ya kipawa!Nafikiri alimaanisha zile window shades
Ambazo zinakuwa katikati ya dirisha,unawez kuzishusha na kuzipandisha
This is why airlines make you open window shades during take off and landingHata SAA hawaruhusu wakati wa kupaa na kutua,mambo yakiusalama zaidi naona! Kuna siku angani tulipalishana na dege la mizigo kubwa kabisa alafu kwa ukaribu mpk Leo cjaelewa ilikuaje!
Upo sawa...Lakini unaweza kupitia hapa piaMimi nakumbuka flight za usiku ndege ikiwa hewani huwa wanasema tufunge, kwenye landing wengi nikiwamo mimi tunafungua ili kuona nice view kama mabati yenye kutu maeneo ya kipawa!
Kwa "long safari" mashirika ya ndege huwa yanatoa "eye mask" kwa ajili ya waoga wa kuangalia nje na wale wasinziaji,ili wasafiri kwa stareheVaa miwani ya mbao
Silagi pork labda kama mbuzi chomaNikulipie nauli ya fastjet twenzetu Mbeya tukale pork na ndizi ili usahau kidogo daladala
yewee[emoji23]Unaongelea ndege au haice ya kwasadala,boma,sanya?lazima wafungue madirisha ili abiria wapate upepo.
1. Nadhani viyoyozi vyao ni vibovu sasa ili kuokoa gharama lazima wafungue madirisha ili abiria wapate upepo.
2. Pia, kama kuna mama mja mzito kama akitapika iwe rahisi kwake asiteseke
Na hili suala wewe sio wa kwanza kulalamika, mimi binafsi nilishawaandikia barua kwamba angalau kama ni kufungua madirisha basi yawe machache tofauti na sasa maana ni mara chache kukuta wanawake wenye mimba wamepanda ndege wengi...
Mimi nakumbuka flight za usiku ndege ikiwa hewani huwa wanasema tufunge, kwenye landing wengi nikiwamo mimi tunafungua ili kuona nice view kama mabati yenye kutu maeneo ya kipawa!