Kwanini duniani hakuna mwanamke mwenye kiualaza/upara?

Wapo sana ila wanavaa nywele bandia wigi utawasikia ili la nywele ya wahindi mara lananiii mimi siyajui mawigi kwani sijawai kuvaa toka nizaliwe
 
Kama kuna wanawake wana ndevu kama siye wanaume inakuaje wasiwepo wanawake wenye viualaza?
Bald-Girl-Funny-Haircut-Image.jpg
1bc487c253385c1fd494e7bfd88f0d18.jpg
f8df1e1ec6ca763e0c241404e586ac58.jpg
BEFORE_HAIR_LOSS_BLACK_FEMALE.223154550_large.JPG
 
Mbona wako wengi tu na wanavaa wigs....wale wenye ndevu si za kuzaliwa nazo ni za kujitakia kwa sababu ya kujichubua na zile ndevu ni madhara yake pamoja na kuota pum.bu ukeni au makalioni.
Huu ugonjwa wa wanawake kuota "Tongo" / pu.mbu ndo nausikia leo kwako mkuu.
au ndo ule uitwa 'puuke disease" yaani Pu.mbu uke.ni.

kama sio huo basi naomba unijuze kwa lugha ya wenzetu unaitwaje ili walau niweze kuusaka nipate kuperuzi na kudadisi kidogo.
 
Genetically binadamu wote tuna genes zilizo sawa kwa uwiano...tofauti inakuja katka tabia ya genes husika..mfano genes za upara wote tunazo ila kwa mwanaume zinakua ni dominant genes ambazo zinaonekana kwa urahisi ila kwa mwanamke zinakua recessive genes ambazo zinakua hazina nguvu kuonesha effect zake na hii upelekea kukosekana kwa mwanamke mwenye kipara
 
Huu ugonjwa wa wanawake kuota "Tongo" / pu.mbu ndo nausikia leo kwako mkuu.
au ndo ule uitwa 'puuke disease" yaani Pu.mbu uke.ni.

kama sio huo basi naomba unijuze kwa lugha ya wenzetu unaitwaje ili walau niweze kuusaka nipate kuperuzi na kudadisi kidogo.

Huu ugonjwa unatokana na kujichubua yaani side effectz ya zile dawa za kujichubua inafanya baadhi ya wanawake kuota mapum.bu makalioni au ukeni na wengine kuwa na mandevu dizaini ya Osama Bin Laden.
 
Professor Shaba aliishi ocean road na mimi nilikuwa ni jirani yake , Mke wake tulikuwa tukimuita bibi , Bibi alikuwa amesoma sana kama mmewe , bibi pia alikuwa ana kipara kama mme wake , ila kwa sasa hawapo walienda marekani kwa watoto wao na nyumba yao ilivunjwa ndio hapo walipojenga appartments ambazo kwa chini kuna A-Z supermarket
 
duuuh picha zao unazo
 
Wapo weeeengi sana sema wanaficha na mawigi wanayovaa . ukitaka kuaaona wavizie wakati wa kuoga au kugegeda jifanye mzuka umepanda unamvuta nywele zake wigi likitoka utakutana na upara maridadi kabisaaa.
 
Back
Top Bottom