Mafanikio ya mwanamke na mwili wake

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,050
10,495
Kuna mwanamke nimekutana naye tukiwa tunasubiri usafiri kwa haraka ni design ya wanawake waongeaji sana so katika stori mbili tatu tukajikuta tunagusia siku ya wanawake duniani. Kwa kifupi ni mwanamke anayeamini mafanikio ya mwanamke yapo katikati ya mapaja yake.

Mimi: Wanawake siku hizi mmepiga hatua wengi wana pesa pamoja na vyeo...

Yeye: mmh vyeo vyenyewe wanapata baada ya kuvua chupi wew ona wanamafanikio ila siri wanaijua tena saa hivi sio mbele tu wanatoa mpaka pasipostahili..

Je, kuna siku tunaweza tenganisha mafanikio ya mwanamke na mwili wake kutotumika.?? Nawasilisha.
 
Huyo Mwanamke uliyekutana nae tu huko,humjui wala hakujui na mkaanza kuongelea mambo kama hayo,

Ina maanisha kua,kwanza huyo Mwanamke alikudharau kimuonekano,ungekaa kiheshima asingeongea maneno kama hayo mbele yako,

Kifupi mlikutana Pipa na Mfuniko.
 
Hii imfikie Joketi Mwongero popote alipo naona anapigwa dongo baada ya Ile kauli yake pale UWT
 
Huyo Mwanamke uliyekutana nae tu huko,humjui wala hakujui na mkaanza kuongelea mambo kama hayo,

Ina maanisha kua,kwanza huyo Mwanamke alikudharau kimuonekano,ungekaa kiheshima asingeongea maneno kama hayo mbele yako,

Kifupi mlikutana Pipa na Mfuniko.
But alichoongea kina make sense.
 
Back
Top Bottom