Ndio nini hicho?Mbona faiza foxy anacho
Kiualaza ndio nnKama kuna wanawake wana ndevu kama siye wanaume inakuaje wasiwepo wanawake wenye viualaza?[/u]
kiualaza ndiyo nini mkuu?
ha haha anataka tuweje sasa jamani ..Anamaanisha Kipara.
Ila siamini kama wanawake hawana upara maana vijana wa kileo utasikia wanasema "kuna demu nimengonga upara" sijui wanamaanisha nini.ha haha anataka tuweje sasa jamani ..
hata mimi sijuiIla siamini kama wanawake hawana upara maana vijana wa kileo utasikia wanasema "kuna demu nimengonga upara" sijui wanamaanisha nini.