Kwanini Dotto Magari anamuogopa Askofu Gwajima

Kwanini Dotto Magari anamuogopa Askofu Gwajima

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,136
Reaction score
33,545
Siku Dotto Magari akishupaza bichwa lake basi ukweli wa wezi simu Kinondoni, dawa, utapeli utajulikana.

Msiwe mnajisahau ndio maana bill nasi kawa mkimya anafahamu shukuru Nandy
 
Huyo dotto answer upeo,akili gani kumjibu mtu kama gwajima
Yeye kazi yake kusifia,udananda apewe hela
Kwa hyo unataka kusema hyo dotto ndy think tank huko ccm

Ova
Mzee wa Kino watu wanachekesha kinyama.. 😄... sasa Dotto ataongea nini kwenye hii ishu? Huyu Dotto ni mtu poa anayejipatia kipato kihalali wala sio mtu wa matamko ya kisiasa kama Steve.
 
Siku dotto magari akishupaza bichwa lake basi ukweli wa wezi simu kinondoni,madawa,utapeli utajulikana.

Msiwe mnajisahau ndio maana bill nasi kawa mkimya anafahamu shukuru Nandy
Dotto magari na Gwajima wanaendanaje?
 
Back
Top Bottom