Nimelichunguza hili kwa baadhi ya marafiki, ndugu na baadhi ya watu. Wengi walioishi nje ya nchi miaka kadhaa wanarudi hawana hata copy ya nchi waliyotoka. Yuko jamaa anaishi Urusi aliondoka mimi nikiwa darasa la 6 mwaka 2001 hadi leo hii jamaa huko hana mtoto wala mke.
Mfano mwengine ni Lemutus mutu ya totos. Karudi akiwa na miaka zaidi ya 55 lakini nina uhakika nae atakuwa hajaacha copy huko USA.
Mifano iko mingi lakini swali ninalojiuliza nini kinasababisha hawa diaspora washindwe kuzaa huko nje na wanawake wa nchi hizo?
1. Ugumu wa maisha?
2. Wanawake wa kizungu hawapendi kuzaa na wageni?
Karibuni diaspora.