Wauaji wanaanza kujulikana. Time will yell
Kamanda, mbona unakuwa mkaki sana? Kwa jini hauruhusu mawazo huru?
Kama naye yupo Nairobi..... alikwenda lini? jina lake halikutajwa miongoni waliopanda ndege..... Na Je ina maana hata Risasi moja haikumpunyua..? Taaratibu Watu wasiojulikana wanaanza kutambulika....Wadau, amani iwe kwenu.
Dereva wa Tundu Lissu ni suspect number one kutokana na jinsi alivyojichanganya wakati akieleza jinsi Lissu alivyopigwa risasi. Maelezo yake yanatia shaka hali inayofanya hata wasio na kiwango cha phd kuweza kubaini nini kimetokea.
Hata hivyo, licha ya Jeshi la Polisi kufanya jitihada kubwa za kumtafuta dereva huyo, viongozi wa CHADEMA wanafanya juhudi kubwa ili dereva huyo asihojiwe kabla ya Lissu hajaruhusiwa kutoka hospitali. Baadhi ya viongozi wa CHADEMA nilioongea nao wana maoni kuwa, kumrelease mapema dereva huyo kwa vyombo vya dola kunaweza kubadili mwelekeo wa sakata hilo.
Ikumbukwe kuwa dereva huyo ana Miezi miwili tu tangu apewe jukumu la kumuendesha Lissu anbapo kabla ya hapo alikuwa dereva wa Makao Makuu ya CHADEMA Kitengo cha Ulinzi wa Viongozi wa chama hicho. Dereva huyo alipewa kumuendesha Lissu ikiwa ni jitihada za chama hicho "kuimarisha ulinzi" wa kiongozi huyo kwa kuwa mlinzi huyo amepewa mafunzo ya Ngazi za juu katika ulinzi wa viongozi, mafunzo aliyopata nchini Israel.
Pitia pia na mjadala wangj uone jinsi MACHADEMA mnavyounbukaHatutaki kuita SPADE kijiko kikubwa tunaita spade spade.Yaani chama kilichokithiri kwa kila uovu,bora kukutana na SHETANI kuliko Chama Cha Mauaji
Wameshajulikana tayariKama naye yupo Nairobi..... alikwenda lini? jina lake halikutajwa miongoni waliopanda ndege..... Na Je ina maana hata Risasi moja haikumpunyua..? Taaratibu Watu wasiojulikana wanaanza kutambulika....
Aise hawaogopi hawa sijui ni binadamu kweli au wanyama
Pitia pia na mjadala wangj uone jinsi MACHADEMA mnavyounbuka
Wameshajulikana tayari
Mbona kama ume-panic?! How come the same post unai-quote mara 3?!Hahahahah,,mpaka 2025 ,,mtanyooka tuuuu. Mkuu hatikiswi nakitu.
Tunaziona picha za dereva wa Lissu na viongozi wa CDM pamoja na mke wake wakiwa Nairobi Hospital ,sasa unauliza nini
Are people born this stupid or do they acquire from guardians
Mbona kama ume-panic?! How come the same post unai-quote mara 3?!
Btw, ni nani atakayenyooka kama si kwamba mnanyooshana wenyewe kwa wenyewe?!
Mmemnyoosha Sofia Simba na wenzake; wote CCM watupu!!!
Mkataka kumnyoossha Nape Nnauye kwa kumpiga risasi mchana kweupi, nae ni mwana-CCM!!!
Mnamnyoosha Yusuf Manji; nae ni mwana-CCM tena ni diwani!!!
Mnamnyoosha Singasinga; nae ni mwana-CCM!!!!
Mnaendelea kuyanyoosha majizi na mafisadi yaliyopo wizara ya nishati; yote hayo ni ma-CCM!!!!
Mnainyoosha Acacia na Mwadui kwa sababu wote hao walikuwa wanatuibia huku wakisaidiwa na ma-CCM!!!
Mzee wa Lugumi nae ananyooshwa huku nae akitokea ukoo wa ma-CCM!
Mkajaribu kutaka kumnyoosha Gwajima lakini kwavile si li-CCM mkashindwa na mkaliweza li-CCM mwenzenu Yusuf Manji!!
JPM mwenyewe ananyooshwa na makaburi kiasi kwamba anaogopa hata kuyagusa na yote hayo ni makaburi ya ma-CCM!!!
Sie wengine mnatunyoosha kwenye kutupandishia gharama za vitu kama vile sukari! Uzuri ni kwamba, huko nako kuna ma-CCM kibao yananyooshwa!!!
Mnanyoosha watu kwa kutotoa ajira na huko nako; ma-CCM vilio yananyooka!!
Eneo pekee mlilofanikiwa kunyoosha wasio ma-CCM kwenye utekaji na assassination attempts! Mmempoteza Ben Saanane and presumably dead. Mlitaka kumuua Tundu Lissu lakini nguvu zenu za kishetani zikishindwa mbele ya Mungu!! Mkamteka ROMA Mkatoliki!!!
Kwahiyo, labda ujisifie kuwanyoosha watu kwa kutumia ugaidi na utekaji! Katika hilo mpo vizuri! Na lazima muwe vizuri kwa sababu kizazi cha shetani lazima kiwe vizuri katika mambo ya uhalifu!!!!
Lizaboni hata hili la Lissu bado unajitutumua?! Ahh kweli Lumumba mmekula yamini!! [emoji87] [emoji40]
Cairo's
Stupid - nonsense - rabish - mataputapu!Wadau, amani iwe kwenu.
Dereva wa Tundu Lissu ni suspect number one kutokana na jinsi alivyojichanganya wakati akieleza jinsi Lissu alivyopigwa risasi. Maelezo yake yanatia shaka hali inayofanya hata wasio na kiwango cha phd kuweza kubaini nini kimetokea.
Hata hivyo, licha ya Jeshi la Polisi kufanya jitihada kubwa za kumtafuta dereva huyo, viongozi wa CHADEMA wanafanya juhudi kubwa ili dereva huyo asihojiwe kabla ya Lissu hajaruhusiwa kutoka hospitali. Baadhi ya viongozi wa CHADEMA nilioongea nao wana maoni kuwa, kumrelease mapema dereva huyo kwa vyombo vya dola kunaweza kubadili mwelekeo wa sakata hilo.
Ikumbukwe kuwa dereva huyo ana Miezi miwili tu tangu apewe jukumu la kumuendesha Lissu anbapo kabla ya hapo alikuwa dereva wa Makao Makuu ya CHADEMA Kitengo cha Ulinzi wa Viongozi wa chama hicho. Dereva huyo alipewa kumuendesha Lissu ikiwa ni jitihada za chama hicho "kuimarisha ulinzi" wa kiongozi huyo kwa kuwa mlinzi huyo amepewa mafunzo ya Ngazi za juu katika ulinzi wa viongozi, mafunzo aliyopata nchini Israel.
Stupid nonsense rabish mataputapu!