Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 914
- 4,264
Tusaidiane wananzengo, ilikuwa sahihi kwa Chalamila kusimama kanisani na kutoa tangazo la kisiasa kanisani? Anatamka mbele ya kanisa kwamba askari polisi 5000 watakuwa barabarani, anawaleta barabarani wanajeshi 8000 nk kufanya usafi muda mfupi baada ya Mbowe kusema kutakuwa na maandamano.
Akiwa kanisani anatabiri kutakuwepo na fujo, na kwamba wanajeshi watadhibiti fujo. Anafahamu nini jukumu la Jeshi la Wananchi? Anafahamu kwamba jeshi la wananchi lina hadhi gani inapokuja katika jukumu la ulinzi na usalama?
Anataka kusema hayo ni maono au maelekezo ya mwenye nchi kuruhusu wanajeshi waingie mtaani ? Let assume chadema wameandamana, wanajeshi watakuwa na njia gani yakukwepa wasionekanw wanapambana na RAIA?
Anafahamu namna ambavyo maamuzi haya yatatia doa nchi? Anafahamu namna vyombo vya magharibi vitayapa kipaombele?
Nashauri Serikali ikwepe huu mtego waliopewa na Chalamila. Chadema wanakwenda kutumia hii kama opportunity kwao kuonyesha wanakandamizwa. Tusiwape nafasi wakaonyesha wanaonewa na JWTZ ikiwa ndani yake. Tulinde sana uniform za JW katika kufanya usafi hasa tarehe 24.01.2024 kuliko tunavyoweza kulinda chochote.
Huu ni mtego na Duniani kote mitego kama hii uhitaji critical thinkers siyo watu wa propaganda. Nchi imetulia tusiruhusu thinking za awamu iliyopita zituvuruge.