Kwanini Bw. Lowassa haongei Sana?


we unaangalia sura, kama mtu aliweza kukufanyia ubaya alafu wewe bado unamsifia na kumkubali, mi naona wewe ndo utakuwa na iQ ya chini kabisa.
 

Unaelewa IQ ninini na inatafutwa vipi,au unajifurahsha tu?
 
Anajua ataongea sana kuanzia mwaka kesho mara baada ya kuapishwa kuwa rais wa Tanganyika. Hivyo hana haraka ya kusemasema
 
mh. wadau mpo moto,, EL kwa tabiri juu ya uyu mheshimiwa ziko nying maana m2 akaae kimya hatujui aliwazalo so apo mi cna coment ,,kuna kutegemea mazur au mabaya toka kwake so cdhan ka kuna haja yakuendelea kucoment umu ndan maana kila m2 anatoa mawazo yake yakichwan mwake ambayo hana uakika ka niyakwel au la asha asa cbora mkae kimya 2,,, by EDWARD LOWASA cousin...
 

Kumbuka kuedit uzi wako,wahandizi wa habari ndo nini?
 
Team EL forever. We will invite him in Korea first kwa mafunzo zaidi ya kikakamavu na sio kukenua kenua mi meno.This country need a serious candidate.
 
Ni kawaida baba ndani ya nyumba hua haongeiongei sana kama mama.
 
Nenda kamuulize si yupo!
 

Huyo kayamgo si mzima. In short I hate haters The biggest reason for my hating haters is their vehemence. They don’t try to convince you, but to shout you down. Of course, that’s exactly why you’re reading this; not for a reasoned argument, but in fact for the comments section shouting match that will shortly ensue.Mtu mpuuzi na akili ndogo utamwona tu hata akiandika; Kayamgo ni mmoja wao
 
Unao ushahidi ya kwamba ni JAMBAZI? Au ni mzaa, au kufuata upepo.

Unataka ushahidi gani wakati mwenyewe alikimbia kimbunga na kuacha uwaziri mkuu kwa kufumaniwa? Huwezi kujiuzulu halafu kwa sababu ya uswaiba unaachiwa kupeta, the guy belongs to the gallows.
 
wanamuita waziri mkuu mstaafu haaaaaaaah haaaaaaah


Ni kweli kabisa yule ni waziri mkuu mstaafu.
Hivi vyeo vya kisiasa vya kuteuliwa na rais havina muda maalumu wa kustaafu. Kujiuzulu ni kustaafishwa kwa manufaa ya umma. Na ndio maana aliandika barua ya kujiuzulu kwa rais na rais akamjibu.
Mbona hata Pinda alishinikizwa mara nyingi ajiuzulu na akamwomba rais ampimzishe
lakini mh. Rais akagoma ili kuepusha usumbufu wa kivunja baraza la mawaziri?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…