Kwanini Bw. Lowassa haongei Sana?


Hiii ndo point nliyokuwa nataka niandike...ahsante kwa kuwahi kuandika....umejaa na ukweli mtupu.
 
Kiharusi kimepamba moto anaweza akaongea kwa vibration mpk tusielewe anataka epa au richmond
 
Hiii ndo point nliyokuwa nataka niandike...ahsante kwa kuwahi kuandika....umejaa na ukweli mtupu.
Kama ntakuwa nakosea nisahishe mkuu,Lowasa alishawahi kusema bungeni kuwa haya matatzo yote yanayojitokeza na kujirudia ni kutokana na mkuu wa nchi kushindwa kutoa maamuzi maana imekuwa kila mtu analalamika tu kuanzia wananchi mpka mkuu wa nchi nakuwekea na link mkuu ucheki
Mzee wa Mshitu: LOWASSA ANGURUMA BUNGENI
 
 
atatuletea mvua ya kutengeneza, atarudisha chenji ya richmond ,atatuambia kwa nini nyerere hakumtaka 1995 ameen
 
 
Kwa kweli Lowasa anaonekana hekima yake ni ya hali ya juu sana,ana sifa zote za kuonekana mzee mwenye busara
 
kucheka sio ujinga ,ili kuweza kumjua mtu mwenye akili sana huwa anacheka sana,ukimuona mtoto wako ana tabia ya kucheka ujue ana akili sana kwwni anakuwa na uwezo wa kutafsiri matukio na vitendo kuweza kujua hiki kinachekesha hiki hakichekeshi .na ukiona mtu hacheki km lowasa ni kuwa yeye amenuna tu hataki kucheka wala kuongea .na ukiona mtu yuko hivyo ujue ni kilaza hawezi kuchangia mada wwala kuweza kujua hili linachekesh a au halichekeshi
kucheka kunaongeza umri wa kuishi kununa km lowasa kunazeesha na kunatia presha mwilini
mfano watu wwnye akili nyingi wanaocheka ni.
nyerere,kikwete,KARUME ,obama nk
 
issue ya ricmond ulishaambiwa baba riz ndiye aliyecheza kishamba.tulia muda ukifka utapata full mkanda tulia hvyo hvyo usijisogeze
Lowasa aliamuwa tu kubeba uchafu wa bosi wake

Na kwnn uamue kubeba uchafu usiokuhusu?
 
kuna mambo mengine ni ngumu kuya elewa na sijui mtoa post alikuwa anataka nn?
 
Makamanda kazi yao ni vitendo..wanaaongea sana hawatendi vitendo kamwee
 
Akiongea ooh anatafuta urais, akikaa kimya aaah kwa nini haongei na kuchekacheka kamawengine! Tumuwache mzee wa watu apumuwe.
 

wanao chekacheka wanajichekesha ili wapate nafasi ya kuendelea kuwaibia wa tz, EL ana ukwasi wa kutosha amchekee nani ampe nini?...
 
Sure Money talks......apige kelele za nini sasa

money talks yeye yupo kimya ila kuna watu wanapiga vikumbo kuzungumza kwa niaba yake

Money speaks louder tha words!

mkuu lowassa ni mtu wa kazi,hata marehem baba yake nasikia alikuwa ci mtu wa kucheka cheka,hili suala la viongoz wa nchi kucheka cheka wakat mwingne ni la kurithi kwa wazaz

Ongeeni yoteee! Tatizo lake kwangu ni ile Tabia ilyosikika miama ya nyuma na ambayo haikujibiwa. U-anglikana! pale NAM hotel!
 
wako wengine sio waongeaji ila kwa vitendo utawapenda
ndivyo alivyo lowassa

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…