Kwanini Bw. Lowassa haongei Sana?

Kwanini Bw. Lowassa haongei Sana?

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,233
Reaction score
14,850
Hivi ni kwa nini huyu Jamaa, (Bw.Lowasa) haongeiongei, kukenuakenua meno na kucheka cheka hata kwenye Misiba kama wanasiasa wengine?

Navyojua mimi hii ni moja kati ya tabia ya watu wenye IQ ya juu sana.

Je, kwa wanaomjua kuna ukweli hapo?

Kwa maana kushambuliwa kote huku sijawahi kumsikia akiongea au kuita Wahandishi wa Habari, kama wengine.

Mimi binafsi naanza kushawishika, nimeona kitu kwake nisichoona kwa wakenua meno wengine...
 
Hivi ni kwa nini huyu Jamaa, (Bw.Lowasa) haongeiongei,kukenua kenua meno na kucheka cheka hata kwenye Misiba kama wanasiasa wengine?
Navyoua mimi hii ni moja kati ya tabia ya watu wenye IQ ya juu sana!
Je, kwa wanaomjua kuna ukweli hapo?
Kwa maana kushambuliwa kote huku sijawahi kumsikia akiongea au kuita Wahandishi wa Habari, kama matakataka wengine.

Mimi binafsi naanza kushawishika, nimeona kitu kwake nisichoona kwa wakenua meno wengine...
Money speaks louder tha words!
 
Kwasababu ni jambazi lililobobea.
 
Ana representatives wa kutosha kumuongelea,a good example ni wewe yaani kila kukicha watu wanamuongelea yeye ataongea nn sasa zaidi ya kufanyia kazi yanayoongelewa eg kujipanga kuwa the coming presdaa of Tz sijui ndo itakuwaTanganyika yaani hapo na mbunge wa Chalinze atakuwa mjengoni yaani sipati picha. Siasa bwana.....
 
sidhani kama kucheka kuna uhusiano na uongozi.. la sivyo nyerere angekuwa kiongozi bogus kuliko wengine ndani ya TANGANYIKA na TANZANIA kwa ujumla!

uongozi ni matendo kama anayofanya jk kikwete..
 
Hivi ni kwa nini huyu Jamaa, (Bw.Lowasa) haongeiongei,kukenua kenua meno na kucheka cheka hata kwenye Misiba kama wanasiasa wengine?
Navyoua mimi hii ni moja kati ya tabia ya watu wenye IQ ya juu sana!
Je, kwa wanaomjua kuna ukweli hapo?
Kwa maana kushambuliwa kote huku sijawahi kumsikia akiongea au kuita Wahandishi wa Habari, kama matakataka wengine.

Mimi binafsi naanza kushawishika, nimeona kitu kwake nisichoona kwa wakenua meno wengine...

Mkuu mtu mwenye akili timamu hapigi kelele, yeye anajinyia vitu vyake tu bila shida na mtu. Mwisho wa siku wajinga wanaanza kushangaa.
 
Kweli liyesema ukifuga mbwa usibweke,aliona mbali sana.
 
MUNGU WETU TUPE USAIDIZI WAKO ILI NDG YETU E.N. LOWASSA APATE KUSHINDA MITEGO NA MITIHANI NA CHUKI MBALIMBALI ILI HATIMAYE AJU KUWA RAIS WETU,KWANI UTENDAJI NA UCHAPAJI KAZI WAKE UNATAMBULiKA KOTE TANZANIA.
 
EL anazungumza pale inapobidi. Pia EL ni jovial sana. Lakini ni mtu wa kachagua aseme nini wapi na kwa nani. Anapenda vitendo kuliko maneno. Waulize vijana wa boda boda na wazee waliokwenda naye shule watakujuza vizuri.
 
Ndio kutofaa kwake kuliko hapa. Kama bungeni wanaweka sheria ili ziiweke serikali ktk mathubuti sasa na siku zote yy kimya. Akijua yy atataka kuiongoza hiyo serikali anakaa kimya. Wakulima na mazao yao yy kimya. Mishahara kimya. Pensheni ya wazee wa zamani kimya. Wastaafu wa EAC yy kimya. Wamachinga yy kimya. Wasukuma kula mapanki yy kimya. Wanyamwezi na nyumba 'ubavu wa mbwa' yy kimya. Singida wanakula mlo mmoja kwa siku yy kimya. Kila Mtz kipato duni lakini nchi deni kubwa yy kimya. Hajawahi kukemea walau kusemea ufisadi, rushwa, wizi na ubadhirifu wa mali za umma. Wanahamisha na kuua maliasili yy kimya. Elimu bora kwa wao na mbovu kwa akina Karumanzila yy kimya. Polisi, TISS na Jeshi vinatumiwa kinyume yy kimya. Mizengwe ktk Katiba Mpya yy kimya! Kama haya yote anayanyamazia huku ktk mfumo wa kuongoza yanakaa visivyo yy anataraji aje na staili ipi ya kuyarekebisha? Huyu Bwana ni mdhaifu sana, sana tena sana. Uongozi anautaka lakini hautengenezi bali kuendekeza rushwa Kanisani, Miskitini na Bodaboda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom