Kwanini Balali hakuzikwa Tanzania?

Status
Not open for further replies.
The original Balali must be dead by now..hawawezi kumwachia, Balali wa Twitter labda ni Balali Junior anatuletea salamu.
Tungemwona shujaa kama angesema wakati ule uliofaa kwa sasa ni msaliti tuu.
 
Du hilo nalo ni jambo jema.binafsi naomba ajitokeze ili usanii wa viongozi wa serikalii hii waaibike.ila siamini kama anaweza kujitokeza.kweli hapo ndipo ligi kati ya ukweli na uongo itachezwa hapa tanzania na mapinduzi yataanzia hapo.ufisadi na unafiki wa viongozi utakuwa wazi wazi hata kiziwi aliyeweka pamba kwenye masikio akijifanya hasikii ufisadi unavyofanyika hapa tz atasikia.
 
...sitaki kuamini kama taifa kubwa duniani kama Amerika(USA) linaweza kuwa sehem ya mchezo huu mchafu unaofanywa na viongozi wa serikali ya Tanzania.Kinachonifanya nianze-kupoteza imani na USA ni njisi-ilivyo kaa kimya pamoja na mambo yote haya ya kifo cha Balali kuhushwa na taifa ili linalosifika kwa maendeleo makubwa ya teknojia.Hivi ni kweli Amerika hamna mnachofaham juu ya uzima,ugonjwa au kifo cha Balali?...FBI mko wapi?,CIA mko wapi?...siku "UKWELI" ukidhihili, kama haya tunayoambiwa Watanyika(Watanzania bara) na viogozi wetu ya yatakuwa ni ya kweli kwamba Balali alifia hapo USA na nyinyi mmethibitisha hivyo,nawataka radhi kwa kuwausisha na mambo yasiyoafa.LAKINI kama haya mambo ya Balali(eti alikufa) yatakuwa ni-yauongo na nyiyi USA mnajua hivyo na mnashirikiana na hao viogozi wetu kutudanganya...mtapima wenyewe kama kweli bado mnahadhi ya kutambulika kama taifa kubwa na lilostaarabika...

Hivi yule jamaa wa Weakleks yuko wapi, walau anawezakuwa na tetesi kuhusu Balali. Na huyo jamaa anavyojua kumwaga ugali bila kujali atakaemwaga mboga, hata USA wanamjua. Ndiyo maana walimbambikizia kesi ya ubakaji.
 
Tanzania lolote lawezekana, na mtiririko wa matukio ni wazi hili kundi la mafioso hapa nchini limepoteza umakini na mwelekeo, mengi yataibuka.
 
Kifo chake kilitangazwa na nani? Ni serikali au familia yake au jamaa zake.Kutoka hapo ndio tutaijua mbichi na mbivu.
 
hii ni kutoka facebook
yule mliemzika kwa giza kijna wetu alietuibia mamillion pale bot na rais wenu
amezinduka na kusema kama amuamini niko hai muulizeni

MH HARRISON MWAKYEMBE@
 
nendeni facebook fungueni daudi balali msikimbilie kuomba ban ovyo kama mifugo yenu ya afikasana mnavyoibembeleza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom