Kwanini Balali hakuzikwa Tanzania?

Kwanini Balali hakuzikwa Tanzania?

Status
Not open for further replies.
Nikifungua a/c ktk FB nikatengeneza ID jina Daud Balali, ktk uhalisia nitakuwa kweli Daud Balali?

hawa watoto waliovamia kwa kasi humu jf wanadanganyika kirahisi sana mzee,hii argument ya face book ya balali ilishawahi kuletwa humu na mtoto mmoja kwenye ile thread ya tule mzushi utaki unaacha,tukajaribu kuwaelewesha kwamba fb page anaweza fungua mtu yeyote kwa jina la marehemu akaanza kuwachezesha mchakamchaka wenye upeo mdogo kwamba marehemu kafufuka na mwingine atakwambia marehemu kuna mtu kamuona akishop kwenye nchi ambayo anajua wewe huwezi kwenda,leo hii mtu kama anabisha ajaribu kufungua fb page kwa jina la baba yake au ndugu yake yeyote aliekufa halafu aanze kueneza taarifa kwamba mzee nachat nae kwenye fb uone kama hakuna watakaokuamini,watu wana stresses za maisha kuwavuruga ni very easy,all in all Balali is a dead person na wala hatakuja kuonekana tena kama sokoine na wengine waliokufa,kuna watu walikua wanadai sokoine huwa anaonekana ofisi ya waziri mkuu dodoma!
 
Angekuwa tz uwezo wa kujizushia amekufa ni simple but in USA that's impossible, wako makini ktk mambo yao, tuache stories the guy is dead. Kwani tweeting si hata mimi naweza tumia hiyo id yake? What's the proof kwamba ni yeye? Tweeting is not fact!

Marekani wako makini my ass! Madudu mangapi yanafanyika Marekani bana????
 
Hivi Serikali ya Marekani ilishawahi kusema Dr. Balali amekufa/alikufa?
Ikulu ya Marekani iksema mimi nitaamini balali is no more maana huko hakuna
longolongo. Kama Ikulu ya Marekani haijawahi kusema mimi ninaweza kuamini
USA inaweza ikawa party ya hii conspirancy ya kifo cha Balali.

USA huwa ina sera moja inasema hivi DON'T ASK DON'T TELL. Hivyo
wanaweza kuitumia hii policy kwenye kifo cha Balali, kama ambavyo USA inajidai
eti haijui kama Israel ina au haina nuclea na haitaki kujua! DON'T ASK DON'T TELL!
 
Inawezekana Kama kweli amekufa alikuwa ameukana uraia wa Tanzania. Pili labda aliacha wosia kwamba akifa asizikwe Tanzania ni mambo binafsi. Alikaa huko USA kwa miaka mingi na alikuwa na nyumba yake huko. Tumwache apumzike. Tupambane na Ndullu afanye kazi kwa tija yaliyopita SI ndwele tugange yajayo!:A S 465:

Huyu Gavana wa sasa Ndullu ni mbaya zaidi kwa nchi yetu zaidi ya marehemu Ballali; je kuna mbunge hata mmoja kwenye kamati ya uchumi na fedha aliyewahi kuuliza kuwa wakina nani walifaidika wakati BOT ilivyoachia sarafu yetu ikashuka thamani mpaka dollar moja ikabadilshwa kwa shililngi 1700.00? Kuna wafanyabiashara waliotengeneza fedha nyingi sana wakati wananchi walikuwa wanaumizwa na mfumuko wa bei kwa sababu ya uzembe wa huyu Gavana!! Kulikuwa na kila sababu kama nchi ingekuwa makini ya kumchukulia hatua za kumuadhibu kwa hasara na machungu aliyoisababishia nchi.
 
Nikisoma habari za Balali nabaki kumkumbuka Mwalimu wangu Prof.Juan Mwaikusa. Rest In Peace Mwl.

Can someone let us know the relationship between the assasination of Prof. Mwaikusa and the late Daudi Ballali?
 
Tamthilia ya .................LOVE FROM INDIA........... Huyo ni ROUL
 
hawa watoto waliovamia kwa kasi humu jf wanadanganyika kirahisi sana mzee,hii argument ya face book ya balali ilishawahi kuletwa humu na mtoto mmoja kwenye ile thread ya tule mzushi utaki unaacha,tukajaribu kuwaelewesha kwamba fb page anaweza fungua mtu yeyote kwa jina la marehemu akaanza kuwachezesha mchakamchaka wenye upeo mdogo kwamba marehemu kafufuka na mwingine atakwambia marehemu kuna mtu kamuona akishop kwenye nchi ambayo anajua wewe huwezi kwenda,leo hii mtu kama anabisha ajaribu kufungua fb page kwa jina la baba yake au ndugu yake yeyote aliekufa halafu aanze kueneza taarifa kwamba mzee nachat nae kwenye fb uone kama hakuna watakaokuamini,watu wana stresses za maisha kuwavuruga ni very easy,all in all Balali is a dead person na wala hatakuja kuonekana tena kama sokoine na wengine waliokufa,kuna watu walikua wanadai sokoine huwa anaonekana ofisi ya waziri mkuu dodoma!

haya yote mmeyataka wenyewe, angekufa mkamleta tukamzika pale tegeta kwake mchezo ungekuwa umeisha, au mngelipia air time itv mkatuonyesha mazishi ya balali live kutoka marekani, pia mngepeleka waombolezaji, cha ajabu hata mama yake hamkumpeleka kwenda kumzika mwanae, kwa kuwa kwetu sisi wazima hawazikwi, basi daudi balali yu hai.
 
Only hon mwakyembe atakupa jibu sahihi!!!!
 
Pdidy hapa siyo sehemu ya utani. Eti tufubgue facebook. Tena ukome kabisa maana watu wako siriazi. Ulishaona mtu anakimbia kivuli chake?
 
Ndugu Umetumwa? Haiwezekani kiongozi wa kaliba ile akafa na hata serikali isitume mwakilishi na hata kuonyeshwa picha ya maiti yake au mazishi yake. Kuna ka-mchezo kanachezwa hapa! Ipo siku yale yote yanayofanywa sirini yatadhihirishwa hadharani
 
Mmmh! Haya mambo ni magumu sana bado kama njiapanda hivi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom