nendeni facebook fungueni daudi balali msikimbilie kuomba ban ovyo kama mifugo yenu ya afikasana mnavyoibembeleza
Nikifungua a/c ktk FB nikatengeneza ID jina Daud Balali, ktk uhalisia nitakuwa kweli Daud Balali?
Ushasema ukifungua,that sio daudi utakuwa ni wewe,ndio maana wewe haujajiita patience95.
[h=1]Daudi Balali[/h][h=2]@daudibalali[/h]Tweeting From Jersey Island For Tanzanians Around The World. Nitasema Kweli Daima. (Secrets That Will Break A Nation). weka vielelezo/ushahidi usio na shaka kuhusu hili
tuwekee hiyo tweeter account yake hapa nasi tuone uyasemayo kama ni kweli. mimi bado siamini kama hajafa.
So far so good! Ukiwa kama King Kong III, chances za kuwa D. Balali fake ni nyingi!
Waulize watu wa usalama wa Taifa kama kweli balali alikufa au lah!!! inasemekana amewekwa kisiwa fulani kwenye bonge la Makazi amalizie maisha yake humo huku akiendelea kukaa na siri za mauaji makubwa ya Taifa letu Kwa maslahi ya watu wasiozidi hata 100. Ipo siku nitajichukulia sheria mikononi walah tena
Labda walihisi wakiileta nchini itafikia kwanza keko halafu ikaagiwe mahakamani
ndo haYO TENaSiri zote za EPA Ameshawapatia Chadema ambako yeye Balali ni moja wa wanachama waazilishi wa Chadema.......na alikuwa Akifanya kazi Yake vizuri tu ...Hadi utumishi wake ulipoingia doa la mtego wa Kutafuta pesa za kampeni 2005....through EPA .
Angalia kwenye post yangu ya kwanza uone tweeter address yake, then nenda huko ukaone mambo.