usininukuu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 380
- 44
Mmh! hii kali
Kwani serikali ya marekani walikwambia kuwa kafa?Angekuwa tz uwezo wa kujizushia amekufa ni simple but in USA that's impossible, wako makini ktk mambo yao, tuache stories the guy is dead. Kwani tweeting si hata mimi naweza tumia hiyo id yake? What's the proof kwamba ni yeye? Tweeting is not fact!
Kwani serikali ya marekani walikwambia kuwa kafa?
Wewe umemsoma Balali wa Tweeter lakini wako ambao wamekutana nae Live na kuongea nae. Kwa ajili ya usalama wake ni lazima ajitayarishie mazingira ya usalama wake na wenzake kabla hajaweka mguu wake JNIA. Bila ya hivyo ataangamia kabla hajafika Dar. Ana ushahidi mwingi kuhusu the BIG 6 NA ENGENEER. Ingawaje kuja kwake hakuta rudisha mali zilizopotea lakini itakuwa ni chanzo watanzania kujikomboa KUTOKANA na mafisadi. MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE NA AWA ANGAMIZE MAFISADI KWA KUWAUMBUA.
I think that only daring speculation can lead us further and not accumulation of facts.
Kama Binadamu aliyeumbwa na Mungu,dhamira [Guilt Consciousness] inamsuta na mizimu ya babu zake wahehe inamsumbua kwa kusaliti Watanzania wengine na anaona asiposema ukweli kwa Watanzania atakuwa ametenda kosa kubwa sana.Hivyo anaangaika na nafsi yake.Lakini kama ni kweli anadhamira ya dhati ya kutubu kwa Watanzania hakika atatimiza lakini chamoto watanzania tumesahkiona sana mpaka sasa,nae anamchango mkubwa sana kwa ilo kwa kuwa huyo gavana halali wao angemtaja mapema tungejua Mapema uenda kwa kutajwa Mungu angetuepusha na hao the 6.
Nikisoma habari za Balali nabaki kumkumbuka Mwalimu wangu Prof.Juan Mwaikusa. Rest In Peace Mwl.
Mkuu naomba unisaidie uhusiano wa kifo cha Prof.Juan Mwaikusa na Balali.
Kuna tetesi kuwa Balali hajafa na Prof. Mwaikusa kabla hajafa amewahi kuonana na Balali huko USAMkuu naomba unisaidie uhusiano wa kifo cha Prof.Juan Mwaikusa na Balali.
...sitaki kuamini kama taifa kubwa duniani kama Amerika(USA) linaweza kuwa sehem ya mchezo huu mchafu unaofanywa na viongozi wa serikali ya Tanzania.Kinachonifanya nianze-kupoteza imani na USA ni njisi-ilivyo kaa kimya pamoja na mambo yote haya ya kifo cha Balali kuhushwa na taifa ili linalosifika kwa maendeleo makubwa ya teknojia.Hivi ni kweli Amerika hamna mnachofaham juu ya uzima,ugonjwa au kifo cha Balali?...FBI mko wapi?,CIA mko wapi?...siku "UKWELI" ukidhihili, kama haya tunayoambiwa Watanyika(Watanzania bara) na viogozi wetu ya yatakuwa ni ya kweli kwamba Balali alifia hapo USA na nyinyi mmethibitisha hivyo,nawataka radhi kwa kuwausisha na mambo yasiyoafa.LAKINI kama haya mambo ya Balali(eti alikufa) yatakuwa ni-yauongo na nyiyi USA mnajua hivyo na mnashirikiana na hao viogozi wetu kutudanganya...mtapima wenyewe kama kweli bado mnahadhi ya kutambulika kama taifa kubwa na lilostaarabika...