Queen Priya
Senior Member
- Jul 15, 2018
- 100
- 97
mwambie aende mahakamani tala hutoka huko..hao ndio wenye mamlaka ya kutoa talakaTafadhali naomba kueleweshwa hasa ni sababu gani zinasababisha mwanaume hususani wale wa kiislam kukataa kutoa talaka?
Nina ndugu yangu huu ni mwaka wa pili mwanaume hataki kumpa talaka na hamhudumii kwa chochote pamoja na kuwa amemuachia mtoto ila kuna siku huyo mwanaume huibuka kutaka amsalimie mtoto lakin akiambiwa matumizi hatoi.
Ila huyo mwanaume tayari anakaa na mwanamke mwingine na wameshazaa mtoto mmoja.
Sasa haelewi sababu iko wapi talaka hatoi?
Na huyu mwanamke akimpigia simu mwanaume hapokei ila yeye anataka ndiyo siku akijisikia anapiga na simu yake ipokelewe
PoleTafadhali naomba kueleweshwa hasa ni sababu gani zinasababisha mwanaume hususani wale wa kiislam kukataa kutoa talaka?
Nina ndugu yangu huu ni mwaka wa pili mwanaume hataki kumpa talaka na hamhudumii kwa chochote pamoja na kuwa amemuachia mtoto ila kuna siku huyo mwanaume huibuka kutaka amsalimie mtoto lakin akiambiwa matumizi hatoi.
Ila huyo mwanaume tayari anakaa na mwanamke mwingine na wameshazaa mtoto mmoja.
Sasa haelewi sababu iko wapi talaka hatoi?
Na huyu mwanamke akimpigia simu mwanaume hapokei ila yeye anataka ndiyo siku akijisikia anapiga na simu yake ipokelewe
hv talaka inaandikwaje.?
wakati mwengine mnaweza kufikiri mtu akikataa kutoa talaka ni kwa ajili ya kukomoa..tambueni ndoa ni kitu kengine kabisa na sio kitu cha mchezo...kuto kuelewa na sio sababu ya kukatisha ndoa. ila ikishindikaa kabisa ni mahakama pekee itatoa talaka kwa hiyo bi dada aende tu mahakamani talaka itatoka iwe bwana hataki au anataka...ila awe na huo huo msimamo wa kuachana ila awe na sababu ya msingi tu.hata baadhi ya wanawake hawataki kupokea talaka
kikibwa ni ku komoana tuu.... mali ni kitu kidogo tuu
Baadhi yetu tumeumbiwa kujenga tuu na si kubomoa
Uislam haujambana mwenza yeyote kuishi ndoani kwa lazima.
1. Mume anamiliki 'talaka'
2. Mke ana token ya 'kujivua ndoani'
3. Kadhi ana mamlaka ya 'kuvunja ndoa'
Kama kweli hao hawapendani basi huyo bi dada anasumbuka kwa kukosa tu maarifa ya uislam na wala si minyororo ya uislam kama wengi wanavyocomment.
wakati mwengine mnaweza kufikiri mtu akikataa kutoa talaka ni kwa ajili ya kukomoa..tambueni ndoa ni kitu kengine kabisa na sio kitu cha mchezo...kuto kuelewa na sio sababu ya kukatisha ndoa. ila ikishindikaa kabisa ni mahakama pekee itatoa talaka kwa hiyo bi dada aende tu mahakamani talaka itatoka iwe bwana hataki au anataka...ila awe na huo huo msimamo wa kuachana ila awe na sababu ya msingi tu.
Labda anaogopa kugawana Mali nusu kwa nusu