Queen Priya
Senior Member
- Jul 15, 2018
- 100
- 97
Tafadhali naomba kueleweshwa hasa ni sababu gani zinasababisha mwanaume hususani wale wa kiislam kukataa kutoa talaka?
Nina ndugu yangu huu ni mwaka wa pili mwanaume hataki kumpa talaka na hamhudumii kwa chochote pamoja na kuwa amemuachia mtoto ila kuna siku huyo mwanaume huibuka kutaka amsalimie mtoto lakin akiambiwa matumizi hatoi.
Ila huyo mwanaume tayari anakaa na mwanamke mwingine na wameshazaa mtoto mmoja.
Sasa haelewi sababu iko wapi talaka hatoi?
Na huyu mwanamke akimpigia simu mwanaume hapokei ila yeye anataka ndiyo siku akijisikia anapiga na simu yake ipokelewe