Kwanini baadhi ya wanaume hukataa kutoa talaka?

Queen Priya

Senior Member
Jul 15, 2018
100
97
Tafadhali naomba kueleweshwa hasa ni sababu gani zinasababisha mwanaume hususani wale wa kiislam kukataa kutoa talaka?

Nina ndugu yangu huu ni mwaka wa pili mwanaume hataki kumpa talaka na hamhudumii kwa chochote pamoja na kuwa amemuachia mtoto ila kuna siku huyo mwanaume huibuka kutaka amsalimie mtoto lakin akiambiwa matumizi hatoi.

Ila huyo mwanaume tayari anakaa na mwanamke mwingine na wameshazaa mtoto mmoja.
Sasa haelewi sababu iko wapi talaka hatoi?

Na huyu mwanamke akimpigia simu mwanaume hapokei ila yeye anataka ndiyo siku akijisikia anapiga na simu yake ipokelewe
 
Inategemea wameachana vp wanaume wengi hutumia hyo km njia ya kumkomoa mwabamke lakini ni wale wanaojielewa tu vichwa vibovu wanaolewa tu hata bila kupewa talaka na mume wa kwanza wana hatari sana!
 
Tafadhali naomba kueleweshwa hasa ni sababu gani zinasababisha mwanaume hususani wale wa kiislam kukataa kutoa talaka?

Nina ndugu yangu huu ni mwaka wa pili mwanaume hataki kumpa talaka na hamhudumii kwa chochote pamoja na kuwa amemuachia mtoto ila kuna siku huyo mwanaume huibuka kutaka amsalimie mtoto lakin akiambiwa matumizi hatoi.

Ila huyo mwanaume tayari anakaa na mwanamke mwingine na wameshazaa mtoto mmoja.
Sasa haelewi sababu iko wapi talaka hatoi?

Na huyu mwanamke akimpigia simu mwanaume hapokei ila yeye anataka ndiyo siku akijisikia anapiga na simu yake ipokelewe
mwambie aende mahakamani tala hutoka huko..hao ndio wenye mamlaka ya kutoa talaka
 
Tafadhali naomba kueleweshwa hasa ni sababu gani zinasababisha mwanaume hususani wale wa kiislam kukataa kutoa talaka?

Nina ndugu yangu huu ni mwaka wa pili mwanaume hataki kumpa talaka na hamhudumii kwa chochote pamoja na kuwa amemuachia mtoto ila kuna siku huyo mwanaume huibuka kutaka amsalimie mtoto lakin akiambiwa matumizi hatoi.

Ila huyo mwanaume tayari anakaa na mwanamke mwingine na wameshazaa mtoto mmoja.
Sasa haelewi sababu iko wapi talaka hatoi?

Na huyu mwanamke akimpigia simu mwanaume hapokei ila yeye anataka ndiyo siku akijisikia anapiga na simu yake ipokelewe
Pole
 
hata baadhi ya wanawake hawataki kupokea talaka
kikibwa ni ku komoana tuu.... mali ni kitu kidogo tuu
 
wakati mwengine mnaweza kufikiri mtu akikataa kutoa talaka ni kwa ajili ya kukomoa..tambueni ndoa ni kitu kengine kabisa na sio kitu cha mchezo...kuto kuelewa na sio sababu ya kukatisha ndoa. ila ikishindikaa kabisa ni mahakama pekee itatoa talaka kwa hiyo bi dada aende tu mahakamani talaka itatoka iwe bwana hataki au anataka...ila awe na huo huo msimamo wa kuachana ila awe na sababu ya msingi tu.
 
Uislam haujambana mwenza yeyote kuishi ndoani kwa lazima.

1. Mume anamiliki 'talaka'

2. Mke ana token ya 'kujivua ndoani'

3. Kadhi ana mamlaka ya 'kuvunja ndoa'

Kama kweli hao hawapendani basi huyo bi dada anasumbuka kwa kukosa tu maarifa ya uislam na wala si minyororo ya uislam kama wengi wanavyocomment.
 
Walipofungia ndoa ni tofauti na mwanamke anapoishi je anaweza kwenda mahakama yoyote?
Uislam haujambana mwenza yeyote kuishi ndoani kwa lazima.

1. Mume anamiliki 'talaka'

2. Mke ana token ya 'kujivua ndoani'

3. Kadhi ana mamlaka ya 'kuvunja ndoa'

Kama kweli hao hawapendani basi huyo bi dada anasumbuka kwa kukosa tu maarifa ya uislam na wala si minyororo ya uislam kama wengi wanavyocomment.
 
Hata mimi nimeshauliza mara kadhaa mwanamke je anataka talaka kweli? Anasema kama mume hamtaki ampe talaka kama anamtaka basi amrudie kwasabu bado anampenda...lakin yote hayo mume hatoi ushirikiano sasa itakuaje?
wakati mwengine mnaweza kufikiri mtu akikataa kutoa talaka ni kwa ajili ya kukomoa..tambueni ndoa ni kitu kengine kabisa na sio kitu cha mchezo...kuto kuelewa na sio sababu ya kukatisha ndoa. ila ikishindikaa kabisa ni mahakama pekee itatoa talaka kwa hiyo bi dada aende tu mahakamani talaka itatoka iwe bwana hataki au anataka...ila awe na huo huo msimamo wa kuachana ila awe na sababu ya msingi tu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom