Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,559
- 860,712
I wrote in general senseUnajenga vipi suala kama hili? Mwanamke amefanyajitihada za kumuomba mume wake warudiane mume amekataa na talaka hatoi na yeye tayar anaishi na mwanamke

Tafadhali naomba kueleweshwa hasa ni sababu gani zinasababisha mwanaume hususani wale wa kiislam kukataa kutoa talaka?
Nina ndugu yangu huu ni mwaka wa pili mwanaume hataki kumpa talaka na hamhudumii kwa chochote pamoja na kuwa amemuachia mtoto ila kuna siku huyo mwanaume huibuka kutaka amsalimie mtoto lakin akiambiwa matumizi hatoi.
Ila huyo mwanaume tayari anakaa na mwanamke mwingine na wameshazaa mtoto mmoja.
Sasa haelewi sababu iko wapi talaka hatoi?
Na huyu mwanamke akimpigia simu mwanaume hapokei ila yeye anataka ndiyo siku akijisikia anapiga na simu yake ipokelewe
Mimi mbaga jr nimemuacha Jane Msowoya kuwa si mke wangu kuanzia leo tarehe 13/9/19 kwa talaka moja/mbilihv talaka inaandikwaje.?
mbaya zaid ni kwamba bado nakupenda Jane na sitaki tuachane.Mimi mbaga jr nimemuacha Jane Msowoya kuwa si mke wangu kuanzia leo tarehe 13/9/19 kwa talaka moja/mbili
Mwanamke ana maisha yake ana biashara zake..siyo tatizo kabisa kuhusu matumiz yake na mtoto wake...
Dalili zipo za kuwa hata mwanaume anampenda mwanamke tatizo ndo hilo sasa wanaishi kibubuu tu!
Hahaha hapo sawa wanaangalia hoja za kila mmojambaya zaid ni kwamba bado nakupenda Jane na sitaki tuachane.
Nimekuacha kuanzia leo co mke wanghv talaka inaandikwaje.?
Labda anaogopa kugawana Mali nusu kwa nusu
Tafadhali naomba kueleweshwa hasa ni sababu gani zinasababisha mwanaume hususani wale wa kiislam kukataa kutoa talaka?
Nina ndugu yangu huu ni mwaka wa pili mwanaume hataki kumpa talaka na hamhudumii kwa chochote pamoja na kuwa amemuachia mtoto ila kuna siku huyo mwanaume huibuka kutaka amsalimie mtoto lakin akiambiwa matumizi hatoi.
Ila huyo mwanaume tayari anakaa na mwanamke mwingine na wameshazaa mtoto mmoja.
Sasa haelewi sababu iko wapi talaka hatoi?
Na huyu mwanamke akimpigia simu mwanaume hapokei ila yeye anataka ndiyo siku akijisikia anapiga na simu yake ipokelewe
Tafadhali naomba kueleweshwa hasa ni sababu gani zinasababisha mwanaume hususani wale wa kiislam kukataa kutoa talaka?
Nina ndugu yangu huu ni mwaka wa pili mwanaume hataki kumpa talaka na hamhudumii kwa chochote pamoja na kuwa amemuachia mtoto ila kuna siku huyo mwanaume huibuka kutaka amsalimie mtoto lakin akiambiwa matumizi hatoi.
Ila huyo mwanaume tayari anakaa na mwanamke mwingine na wameshazaa mtoto mmoja.
Sasa haelewi sababu iko wapi talaka hatoi?
Na huyu mwanamke akimpigia simu mwanaume hapokei ila yeye anataka ndiyo siku akijisikia anapiga na simu yake ipokelewe
Tafadhali naomba kueleweshwa hasa ni sababu gani zinasababisha mwanaume hususani wale wa kiislam kukataa kutoa talaka?
Nina ndugu yangu huu ni mwaka wa pili mwanaume hataki kumpa talaka na hamhudumii kwa chochote pamoja na kuwa amemuachia mtoto ila kuna siku huyo mwanaume huibuka kutaka amsalimie mtoto lakin akiambiwa matumizi hatoi.
Ila huyo mwanaume tayari anakaa na mwanamke mwingine na wameshazaa mtoto mmoja.
Sasa haelewi sababu iko wapi talaka hatoi?
Na huyu mwanamke akimpigia simu mwanaume hapokei ila yeye anataka ndiyo siku akijisikia anapiga na simu yake ipokelewe
Tafadhali naomba kueleweshwa hasa ni sababu gani zinasababisha mwanaume hususani wale wa kiislam kukataa kutoa talaka?
Nina ndugu yangu huu ni mwaka wa pili mwanaume hataki kumpa talaka na hamhudumii kwa chochote pamoja na kuwa amemuachia mtoto ila kuna siku huyo mwanaume huibuka kutaka amsalimie mtoto lakin akiambiwa matumizi hatoi.
Ila huyo mwanaume tayari anakaa na mwanamke mwingine na wameshazaa mtoto mmoja.
Sasa haelewi sababu iko wapi talaka hatoi?
Na huyu mwanamke akimpigia simu mwanaume hapokei ila yeye anataka ndiyo siku akijisikia anapiga na simu yake ipokelewe
Tafadhali naomba kueleweshwa hasa ni sababu gani zinasababisha mwanaume hususani wale wa kiislam kukataa kutoa talaka?
Nina ndugu yangu huu ni mwaka wa pili mwanaume hataki kumpa talaka na hamhudumii kwa chochote pamoja na kuwa amemuachia mtoto ila kuna siku huyo mwanaume huibuka kutaka amsalimie mtoto lakin akiambiwa matumizi hatoi.
Ila huyo mwanaume tayari anakaa na mwanamke mwingine na wameshazaa mtoto mmoja.
Sasa haelewi sababu iko wapi talaka hatoi?
Na huyu mwanamke akimpigia simu mwanaume hapokei ila yeye anataka ndiyo siku akijisikia anapiga na simu yake ipokelewe
Tafadhali naomba kueleweshwa hasa ni sababu gani zinasababisha mwanaume hususani wale wa kiislam kukataa kutoa talaka?
Nina ndugu yangu huu ni mwaka wa pili mwanaume hataki kumpa talaka na hamhudumii kwa chochote pamoja na kuwa amemuachia mtoto ila kuna siku huyo mwanaume huibuka kutaka amsalimie mtoto lakin akiambiwa matumizi hatoi.
Ila huyo mwanaume tayari anakaa na mwanamke mwingine na wameshazaa mtoto mmoja.
Sasa haelewi sababu iko wapi talaka hatoi?
Na huyu mwanamke akimpigia simu mwanaume hapokei ila yeye anataka ndiyo siku akijisikia anapiga na simu yake ipokelewe
Tafadhali naomba kueleweshwa hasa ni sababu gani zinasababisha mwanaume hususani wale wa kiislam kukataa kutoa talaka?
Nina ndugu yangu huu ni mwaka wa pili mwanaume hataki kumpa talaka na hamhudumii kwa chochote pamoja na kuwa amemuachia mtoto ila kuna siku huyo mwanaume huibuka kutaka amsalimie mtoto lakin akiambiwa matumizi hatoi.
Ila huyo mwanaume tayari anakaa na mwanamke mwingine na wameshazaa mtoto mmoja.
Sasa haelewi sababu iko wapi talaka hatoi?
Na huyu mwanamke akimpigia simu mwanaume hapokei ila yeye anataka ndiyo siku akijisikia anapiga na simu yake ipokelewe
Na figisufigisu zote hizo ni sababu ya huyo mke wa pili, wanawake ni shida aisee....usikute jamaa kaleta mke wa pili ili kumfunga speed gavana maana hawachelewi kukupanda kichwani hawa, full kukufungia milango usitoke ndaniNaomba niulize wakuu ni sahihi mke kudai talaka au kwenda kwao kisa mume kaoa mke wa pili
T.A.L.A.K.A(TALAKA)/ kama ulivyo andika wewe!hv talaka inaandikwaje.?