Nkwe2RG
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 231
- 224
Ni kwa mawasiliano toka kwa mume kwenda kwa mke na mke bila mashaka yoyote akaielewa taarifa ya mumewe kuwa ameachwa hata kama kwa utani.hv talaka inaandikwaje.?
Kwa mfano;
>kumwambia mke, 'nimekuacha' tayar ni talaka
>kumwambia mke 'nenda kwenu' halaf mke akauliza 'unamaanisha umeniacha?'. Mume akajibu 'ndio' tayar ni talaka