Kwanini baadhi ya wanaume hawaoi wadada wazuri?

Kwanini baadhi ya wanaume hawaoi wadada wazuri?

Hakuna lolote, mwanamke wa kuoa lazima awe mzuri. tatizo wanaume wasiojiamini wanaogopa wanawake wazuri kwa kuwa wanawavutia wanaume kwa kiasi kikubwa sasa kama mwanamke kama hana msimamo ni mtihani kwelikweli.
 
sasa mtu nywere tu ni laki na ishirini elfu alafu anakaa nazo siku 5,kila kona ya mwili wake gharama sasa ukimuoa huyo utashindwa hata kujenga banda la kuku

Haaaahaaaa
Nimecheka
 
Try it and see

Uoga wao tu...

on the contrary...confidence ya mwanamke iko kwenye umbo lake. Wengi wanayatumia maumbo yao kunyanyasa waume zao, they are good to be hookers not wives.
 
Habari zenu wanajamii forum,

Kuna jambo ambalo nalishanagaa kidogo japo sina uhakika asilimia 100 but kwa utafiti nilikokafanya kidogo tu nimegundua wale wanawake wazuri na wenye sura na muonekano mzuri wanatafuta sana watu wa kuwaoa lakini watu wote wanawakimbia, sijui ni kwanini na mara nyingi sasa hivi wale wa kina dada wenye muonekana wa kawaida kisura ndio wanaolewa.

Ili kulithibitisha hilo kuna dada mmoja mzuri sana aliniambia anataka mtu wa kumuona ila kila mwanaume anasema hawezi kuoa presha sasa sijui wanaume wenzangu kunani ni kweli uzuri wao unawatisha au kunanini nyuma ya pazia jamani wengi wanataka kuolewa lakini wanaume wanataka kuwatumia tu kuwaacha.

Jamani tujadili kuhusu hili

jaribu hata kuwa na rafiki wa kike mrembo uone vituko utakavyofanyiwa
 
Nadhan mleta mada utakua bado upo shule....kua uyaone mdogo wangu..cc tulio kwenye ndoa tunajua madhara ya wake wazur...
 
Ukioa mwanamke mzuri ni sawa na una share na washkaji tu! kwa mtu mwenye akili hawezi kuoa mtu kama huyu labla 24hrs upo nae mguu kwa mguu!

5041-a-beautiful-african-american-teen-girl-posing-in-the-woods-pv.jpg
 
Uzuri ni relative term! Hata hivyo, kwa hulka ya wanawake wengi, wakisifiwa uzuri wao basi nao huota pembe. Pia baadhi wanaishi maisha yasiyo yao, wanaigiza.

Ukiona huoleki na unahitaji kuwa mke wa mtu siku moja, lakini kila wakija wanachapa na kusepa...jitizame, waweza kuwa na udhaifu fulani ambao unawakera vidume...
Kila la heri wote mnaosali, mnaofunga na mnaotamani kuolewa siku moja!!
 
halafu wanawake wazuri sana hayana wakili za kimaisha wengi ni kujambajamba tu
 
halafu wanawake wazuri sana hayana akili za kimaisha wengi ni kujambajamba tu hata kupika chakula kizuri hayajui kuna mmoja alikuwa ananipikia ugali mbichi
 
Ukioa mwanamke mzuri ni sawa na una share na washkaji tu! kwa mtu mwenye akili hawezi kuoa mtu kama huyu labla 24hrs upo nae mguu kwa mguu!

5041-a-beautiful-african-american-teen-girl-posing-in-the-woods-pv.jpg

Mbona wa kawaida sana. Umezuzuka na rangi tu hapo. Kuna tofauti ya mzuri ( pretty girl) na mrembo ( beautiful girl) huyu beautiful na sio pretty girl.
1. Mwanamke mzuri na mrembo hawezi ishi uswahilini
2. Huwa matawi juu sana. Huna gari na kazi yenye jina humpati. Hapa kama wewe ni Mwl utasubiri sanaaa.
3. Huwa hawampi mwanamume muda wa mkujua kwa undani. Mwanaume huzuzuka kwa umbo na sura ila akipishana naye ktk mlango wa choo mwanaume anakuja kugundua kuwa na ya warembo huwa yananukaa.
4. Wanalinga sana kuwa na dharau wakidanganywa na vioo vyao dressing tables. Wakijua wanaweza zuzua mwanaume yeyote kwa wakati wowote. Mwisho huishia kuwa michepukoo ya mapedeshee na mwisho huangamia kwa HIV/AIDS.
 
Ndoa hazina tofauti sana na ajira

hao wanawake wazuri wanaosema wana shida ya kuolewa utakuta hawana shida ya sex partner kabisa
kuna watu wakiwa beep tu wanawafuata for sex....but wakihitaji ndoa hawapati

jaribu kufikiria una kampuni
unahitaji kuajiri.....utaajiri mwenye cv ya nguvu?
au utaajiri kwanza mwenye shida ya hiyo kazi ingawa cv sio ya nguvu
ili umlipe kidogo na awe loyal na kampuni?

kumbuka ukiajiri mwenye CV kali anytime anaweza ondoka akiona haridhiki
 
sasa mtu nywere tu ni laki na ishirini elfu alafu anakaa nazo siku 5,kila kona ya mwili wake gharama sasa ukimuoa huyo utashindwa hata kujenga banda la kuku
Kuna dada mmoja mzuri kinoma mkuu, nilidumu naye mwezi mmoja tu...
Nilitoka nduki kama Filbert Bayi hata yeye mwenyewe wala sikumwambia Bye!

Wengi wao wanachojali ni huo uzuri wao tu na kichwani huwa ni watupu kabisa, sifuri kabisa, kama ulivyosema mkuu, muda wote anawaza aende saluni gani ya bei kubwa, kila kitu ana demand kile expensive tu, ukimpa pesa ya matumizi ya siku moja, 50,000 anakwambia " bora tuusinipe hela" kwa hiyo kwa akijana ambaye bado unatafuta mafanikio ni atakuvuruga kichwa tu.

Wanatakiwa wapate mtu ambaye alishajikusanyia utajiri muda mrefu, na wao akili yao huwa ni kutumia tu.
 
Ndoa hazina tofauti sana na ajira

hao wanawake wazuri wanaosema wana shida ya kuolewa utakuta hawana shida ya sex partner kabisa
kuna watu wakiwa beep tu wanawafuata for sex....but wakihitaji ndoa hawapati

jaribu kufikiria una kampuni
unahitaji kuajiri.....utaajiri mwenye cv ya nguvu?
au utaajiri kwanza mwenye shida ya hiyo kazi ingawa cv sio ya nguvu
ili umlipe kidogo na awe loyal na kampuni?

kumbuka ukiajiri mwenye CV kali anytime anaweza ondoka akiona haridhiki

Habari zenu wanajamii forum,

Kuna jambo ambalo nalishanagaa kidogo japo sina uhakika asilimia 100 but kwa utafiti nilikokafanya kidogo tu nimegundua wale wanawake wazuri na wenye sura na muonekano mzuri wanatafuta sana watu wa kuwaoa lakini watu wote wanawakimbia, sijui ni kwanini na mara nyingi sasa hivi wale wa kina dada wenye muonekana wa kawaida kisura ndio wanaolewa.

Ili kulithibitisha hilo kuna dada mmoja mzuri sana aliniambia anataka mtu wa kumuona ila kila mwanaume anasema hawezi kuoa presha sasa sijui wanaume wenzangu kunani ni kweli uzuri wao unawatisha au kunanini nyuma ya pazia jamani wengi wanataka kuolewa lakini wanaume wanataka kuwatumia tu kuwaacha.

Jamani tujadili kuhusu hili

Wadada wazuri ni kwa ajili ya starehe tu...mademu wa kawaida ndo wa kujenga familia....pretty galz ni drama queens kitu ambacho hatutaki...utalundikiwa msururu wa mabwana mpaka ujiulize hii ni baa au ndo mke wangu....
 
Back
Top Bottom