Kwanini baadhi ya wanaume hawaoi wadada wazuri?

Kwanini baadhi ya wanaume hawaoi wadada wazuri?

Nakubaliana na wewe kwa kiasi Fulani ila nowdays wanaume tu hawajiami kabisa sio kwa wanawake tu na mambo mengine.
Hilo swala la hao wanawake wakisifiwa na kujiona wazuri na kuvimba kichwa naona kuna kitu wana kimiss kwa kutokujielewa kwao. Naona ni vichwa panzi tu ka watafata sifa za kijinga na kutokua stable kwenye relation kisa uzuri ni hawajielewi ndo mana hubaki kutumika tu bila sababu na kudapiwa.

Yeah kuna wadada wazuri wanajitambua na kujielewa na malezi huchangia, huwezi kumpata mdada mzuri ki club, ana bad life style mbovu ukategemea ata change hiyo ni big no.
Better kutafta mtu kwa kumchunguza background yake na kumsoma tabia yake hapo relation itakua nzuri kwa kiasi japo mapungufu hayakosekani.

Nafikiri sasa umemuelewa Eli. Hana maana wanawake wazuri wote hawajatulia, wapo waliotulia ila ni wachache sana kwa nyakati hizi.Wanawake wengi huchukulia urembo kama siraha ya kuwaendesha wanaume.

Mfano tumeona wanawake wazuri pindi uchumi wa familia ukiyumba wao huwa hawana subira. Ni rahisi kutafuta wanaume wengine ili waweze ku-maintain standard yao. Hilo ni tatizo kubwa kwa wadada wengi bila kujua wakati mwingine ni suala la mpito. Kwa maana nyingine wanawake wengi wazuri ndio hawajiamini kwasababu ya kutaka kuwaoyesha watu jinsi wasivyo.

Halafu tatizo lingine wanawake wemejengewa hisia kuwa uzuri wa mwonekano ndiyo kila kitu kwenye mahusiano. Ni mara nyingi kusikia wanawake wakisema "fulani mzuri ataolewa tu" au " fulani na uzuri wake wote kwanini haolewi".Kuolewa ni zaidi ya uzuri na ikitokea mtu ni mrembo akaolewa kwa uzuri wake na tabia zake mbaya bado ndoa hiyo haidumu.

Kwa ushauri wangu ni kwamba kama mwanamke ni mrembo unayo kazi ya kuthibitisha kuwa unajielewa. Mbali na uzuri hilo tu ndo wanaume wengi hutafuta kulifahamu kabla ya kufanya commitment kwake. Kama mwanamke ni mrembo na wanaume hawako tayari kumuoa hakuna tatizo lingine mbali na kutojielewa. Na mwanaume yeyote angependa kuoa mwananke mrembo ila wengi wanakimbizwa na hicho kigezo.
 
Uzuri wa mwanamke ndio humvutia mwanaume lakini tabia zake ndo humfanya adumu naye.
 
wasichana wabaya au hao wa kawaida ukijichanganya siku moja tuu atakung'angánia mpaka umuoe lkn wazuri wao huwa wanaona wapo watu wa kuwaoa mpaka wanaposhituka wakiwa na miaka 40
 
Kupitia uu Uzi nimeweza kutambua ni jinsi gani wanaume hawajiamini kwenye mahusiano yao. Jiamini nyie wanaume sio unaoa demu sura mbovu then unakua unafukizia michepuko mlioa wa nini sasa?

Minataka nikuoe wwe mzuri!
 
Mwanamke mzuri sana

1. Huwa wa kutanguliza uzuri wao kwanza kabla ya mapenzi ya dhati
2. Tafiti zinaonesha hao wazuri ndiyo wanaongoza kwa kuchepuka wakiwa tayari ndani ya ndoa. Ndiyo maana
hawaolewi kwa urahisi kwani kila mwanaume anayetaka kuchepuka huwa lazima achepuke na mwanamke mzuri
 
mmmh huenda kuna ukweli

ni uoga wao na ubahili unaowaponza wanaume. Jamani hapa tuseme ukweli kuwa hakuna mwanamme asiyependa mke mzuri.
:
mfano; mwanamme akitoka out na mdada mzuri jamani anajipa ma confidence ile mbaya kila saa mara akishike mkono etc.

Pili siku ya ndoa jamani bi harusi akifunuliwa kale kichwan na kweli mtoto ni mzuri loh hapa hata mc huwa anasema la moyon.

Note: kuoa mke mzuri ni vizuri zaidi ila kama hana zile sifa za kuwa mke bora umwache. Mke hajui kupika, kufua, mchoyo, mchafu kiburi, hujari, kupendi ndugu wa mme, kila kitu hg khaaa bora afie huko na sura yake

ila ukweli ni kwamba oa mdada mzuri wa sura na sifa nyingine hata akipita loh waseme dah mke wa fulan mzuri, ukikaa sebreni ukawa unaanalia zile pic za ukutani. Na mke kweli mkalim anajari wagen hata mme anasema kweli wife ni mzuri kila sehem.

Mke ni ua la ndan.
 
Kusema kweli wadada wengi sasa hawaoleki. Ni kama bidhaa zisozouzika dukani, either value yake imeshuka sana au zumeexpaya!
 
Back
Top Bottom