ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,764
- 127,829
Kupitia uu Uzi nimeweza kutambua ni jinsi gani wanaume hawajiamini kwenye mahusiano yao. Jiamini nyie wanaume sio unaoa demu sura mbovu then unakua unafukizia michepuko mlioa wa nini sasa?
Tatizo sio kujiamini au kutokujiamini. Wapo wanawake ambao kweli wakipata sifa toka kwa wanaume kadhaa juu ya uzuri wao, huvimba vichwa sana. Hili linawafanya kuona kuwa hata hii relationship ikifeli kuna yule na yule wanawataka..kifupi wapo sokoni mda wote.
Hili linawafanya kwanza wawe waruwaru, they can't settle with one man, lakini pia kwa sababu ya sifa wanazopewa mtaani kukuacha na kwenda kwa mwingine ni kiti kidogo sana....lakini pia they're too materialistic ili kuweka zile standards zao.
Wapo wadada wazuri sana na wana heshima na value ya uzuri wao wanaitambua lakini ni wachache mno..