segere
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 539
- 262
Mimi nitaoa mzuri
Hata mimi, sio unachukua mke alafu unakuja kuulizwa na watoto baadae, dingi enzi zako hakukuwa na wanawake wazuri?..au unaoa mke ambaye we mwenyewe kumtambulisha kwa rafikizo huwezi.
Na itambulike wazi ukorofi wa wanawake ni tabia tu, kwani hata hao wabaya wapo wenye mambo ya ajabu, tena wale wenye maumbile mabaya sana wengi wao WACHAWI..