Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,258
Habari zenu wanajamii forum,
Kuna jambo ambalo nalishanagaa kidogo japo sina uhakika asilimia 100 but kwa utafiti nilikokafanya kidogo tu nimegundua wale wanawake wazuri na wenye sura na muonekano mzuri wanatafuta sana watu wa kuwaoa lakini watu wote wanawakimbia, sijui ni kwanini na mara nyingi sasa hivi wale wa kina dada wenye muonekana wa kawaida kisura ndio wanaolewa.
Ili kulithibitisha hilo kuna dada mmoja mzuri sana aliniambia anataka mtu wa kumuona ila kila mwanaume anasema hawezi kuoa presha sasa sijui wanaume wenzangu kunani ni kweli uzuri wao unawatisha au kunanini nyuma ya pazia jamani wengi wanataka kuolewa lakini wanaume wanataka kuwatumia tu kuwaacha.
Jamani tujadili kuhusu hili