Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Status
Not open for further replies.
Wakupigie wapi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama wanaume kweli waende WWE au hata wakapambane na kaseba na cheka huko[emoji1787]
Hahaaaa WWE wakafanye Nini huko mbali hivo wapigane kupata hela kwanza, mwanaume asiye na hela anaongoza kwa hasira na stress sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23]dah humu Kuna watu wanakerwa na comments zangu na wamenifokea hatari ningekuwa karibu leo ningepigwa
Nadhani wanakerwa coz you've taken the matter too personal, ukirudi kusoma maandiko yako(ambayo nimeyapitia) utaona kuwa huenda umeichukua serious kuliko kawaida. And when you do that, you annoy those who can't handle mere conversations.
 
mi mwanamke yeyote ambaye anaweza kufokeana na mumewe huwa namuona hajui sifa za mke bora

mwanamke ambae anataka eye to eye war, ni tatizo

TANGA HAKUNA FEMINISM, WALIWEZAJE?

NDOA IKIVUNJIKA TANGA UJUE NI KIFO KIMEINGILIA KATI
Tanga ni mkoa unaongoza kwa talaka Tanzania
 
Wewe povuka tu huna jipya uliloandika unajizalilisha tu bure Yani na sikuhizi Sina mood ya kutukanana kabisa hata ukini provoke vipi
Huyu ukimtukana atalia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msamehe bure [emoji1787]

Wewe mtu anapambana na simu yake kuandika matusi kiasi hicho...Kuna wanaume siyo wanaume
 
Furaha yako inazidi wanaume wanapokuwa emotional? Kwa hiyo haupo kujadili hoja ila kuwafanya watu wawe emotional ili upate furaha! Kuna kitu najaribu kujifunza hapa, hiyo unayojaribu kufanya ni condition ipo kwa baadhi ya watu. Sijaribu kukuongelea wewe in person ilà kwa vile umesema unafurahia mwingine akitokwa povu says something!!
In my life I have one principle kuwa happy no matter what circumstances may come on my way, na huwa always siruhusu yeyote au chochote kuni drain my energy, I have and mastered that, so hapa sitii yoyote emotional Ila ni wao wanajitia emotions kwa kuanza kunitukana kuhusu opinions zangu ambazo sijalazimisha mtu azifate, so before blaming me for writing what I believe I think wanaume wajilaumu wenyewe kwa kukubali kuumizwa na opinions zangu, hata Mimi Kuna comments au thread's nyingi huwa sizikubali kabisa Ila kamwe huwa haziniiumizi maana nimeshajifunza duniani Kuna diversity mbalimbali na ninaziheshimu na siruhusu zi spoil my positive vibes. So huwa siamini Sana kwenye ku blame wengine kwenye insecurities zangu rather huwa natafta dawa ya ku heal.
Pia usiseme wanaume sijui Nini hili jukwaa la MMU mada zake asilimia kubwa ni kuzalilisha wanawake kila corner, na hata siku moja wanawake hatujawahigi kutoka na kuanza kutukana wanaume kisa mitazamo yao.
 
Huyu ukimtukana atalia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msamehe bure [emoji1787]

Wewe mtu anapambana na simu yake kuandika matusi kiasi hicho...Kuna wanaume siyo wanaume
Kwa kweli sikuhizi nimekua Sana wallah, staki kutukanana na mtu na kujizalilisha maana it's like unaoga mtoni kichaa kabeba nguo then unaanza kumkimbiza Sasa ukifanya hivo si ndo unaonekana kichaa
 
Juzi tulitoka kupiga vyombo na dume langu, sasa kimahaba maana ilikuwa siku ya kumpa mzigo liliniambia nimuwekee maji kwa bafu(kwa mara ya kwanza) nilimpa Kofi konki. Maana hiyo biashara sifanyagi mimi kwani yeye ni mtoto.
Mamaae
 
In my life I have one principle kuwa happy no matter what circumstances may come on my way, na huwa always siruhusu yeyote au chochote kuni drain my energy, I have and mastered that, so hapa sitii yoyote emotional Ila ni wao wanajitia emotions kwa kuanza kunitukana kuhusu opinions zangu ambazo sijalazimisha mtu azifate, so before blaming me for writing what I believe I think wanaume wajilaumu wenyewe kwa kukubali kuumizwa na opinions zangu, hata Mimi Kuna comments au thread's nyingi huwa sizikubali kabisa Ila kamwe huwa haziniiumizi maana nimeshajifunza duniani Kuna diversity mbalimbali na ninaziheshimu na siruhusu zi spoil my positive vibes. So huwa siamini Sana kwenye ku blame wengine kwenye insecurities zangu rather huwa natafta dawa ya ku heal.
Pia usiseme wanaume sijui Nini hili jukwaa la MMU mada zake asilimia kubwa ni kuzalilisha wanawake kila corner, na hata siku moja wanawake hatujawahigi kutoka na kuanza kutukana wanaume kisa mitazamo yao.
Lakini umesema hapa umefurahia sana comments zako kuwatoa povu vidume. Ni sawa kila mtu kusimamia anàchoamini, sema sasa tupo kina sie tunataka kila tunachoamini wengine wakiamini.
 
Lakini umesema hapa umefurahia sana comments zako kuwatoa povu vidume. Ni sawa kila mtu kusimamia anàchoamini, sema sasa tupo kina sie tunataka kila tunachoamini wengine wakiamini.
Yes siku zote tu huwa na furaha, but today I'm more than happy maana nime receive personal attack ka zote vile na sija shake.

Kwahyo kina nyie mnapenda kile mnachopenda na wengine waamini jamani huo si ndio u dictator wenyewe
 
Sasa si hyo umeandika it's all about Sasa nyie mbona mnafoka kwa Mambo mengine minor issues kabisa out of context kabisa.
Maana Sasa mnasema kujadili kwa hoja huko juu mumeshatukana wee bila sababu hata kutofautiana mtazamo mnaita feminist chah.
Mumeharibu wenyewe mada bana

unafikiri hizo equality of sexes economically, politically and socially inawezekana for 100%..au ni theory tu?

hapa mjadala umejikita sana kwenye home affairs kwa maana ya majukumu ya mke ndani ya nyumba na mwanamme ndani ya nyumba, wengi unaosema wanakufokea wanaongelea ukuu wa mwanaume ndani ya nyumba based on his hard responsibilities kama baba kwa familia hapa ndipo anatakiwa aheshimiwe..

Imani za kidini zimempa mwanaume ukuu wa familia kama baba na mama ni msaidizi aka mshauri na mfariji kwa baba zikibase kwenye mahangaiko anayoyapata mwanaume kwenye maisha ya kila siku..
Uumbaji pia umeampa mwanaume vitu vinavyomfanya awe na nguvu kwenye familia kwa yeye kuweza kupambana kwenye hali zote ngumu ili alete mkate mezani na aweze pia kuilinda familia ndio maana kazi ngumu zote duniani for 90% wafanyaji ni wanaume..

Usawa kwenye familia upo kiasili kwenye upande wa majukumu ya mwanamme na mwanamke, mwanamme ana yake na mwanamke anayake na hii iko automatic ukienda tofauti lazima shida itokee..Ukiangalia majukumu ya asili ya mwanamme ni makubwa na magumu ukifananisha na ya mama ndio maana mume akirudi atapewa pole na usiku wakati wa kwichikwichi mtapeana updates za siku based majukumu ya kila mtu..

Nilivyokuelewa uko na shida kwenye vitu vidogo sana ambavyo kimsingi karne ya sasa sio issue mfano kutekeana maji, kupika sijui kufua nk hivi ni vidogo na sio issue mwanamme kusaidia inapobidi au kuweka nyenzo rahisi umpunguzie mkeo kazi...

Yapi ni majukumu ya mume na yapi ni majukumu ya mke kwenye familia?
Nilivyokuelewa, hakuna majukumu ya mke wala mume wote lazima mkubaliane huyu atende kile na wewe utende kile, hapo binafsi sidhani kama kuna mume na mke..

sorry kwa mkeka mrefu, somo ni refu sana hili kulielewa...
 
Take heart mkuu, huyo jamaa ameenda mbali sana kwako, ila chukulia normal tu reasoning capacity yake ndogo.... kupingana kwa kuitana malaya na matusi mengine inaonesha level ya akili bado ndogo.......
Yes I do take heart, but in life I have learn we differ in many things, hata background tulizokulia na hapa JF Mimi nimeshazoea nikiandika lolote so watu wanaanza matusi Mimi mtu akiniita Malaya wakati si Malaya Wala hainiumi najua tu huyu mtu hayuko matured na vile ameona Mimi Ni mwanamke ni haki yangu kutukanwa as a means of silencing me.
 
kuna misimamo walisimamia mama zetu ambayo bila hiyo misimamo na harakati hizo leo hii tusingekuwa hapa,...

mfano baba ni mlevi kilasiku akirudi anapiga watoto na mama sasa mama akianza harakati za kushtaki na mambo mengine kwa usalama wa familia hapo shida ipo wapi....

wamepigania mambo mengi hawa wanawake wanaoenda shule na badae kupata kazi na kusaidia nyumbani kwao ni kazi ya feminism,

sasa mtu apigwe bila sababu inayoeleweka alafu akae tu kimya? hiyo sio sawa, wanawake wanaojitambua wanajua haki yao pia wanawake ambao wanajitambua na kujua hali zao ni msaada mkubwa katika mafanikio.....tembea uone wanawake ambao feminist ila wanafanya makubwa sana kwa familia achana na asilimia chache wanaopotosha maana nzima ya feminism kwa maslahi yao wenyewe....
 
Wewe endelea kuwamwagia hao ambao mnaendana nao akili sisi smart woman hatudaganyiki tunajua kunusa Mambo mengi before even ur move, so ni ngumu Sana kutukamata tunajiamini oooh ka jike la Simba, maana tuna date kwa pleasure and we choose from the best
Mwanamke mbishi wwe kha
toka asubuhi unapambana tu,....
nikikushika nitakupigia bakora tatu....
uimbe nyimbo zote za kwenu.....
na asubuhi uniamkie...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom