Kwanini Askofu mkuu wa Roma huingiaga msikitini??

Status
Not open for further replies.

Mkuu msitoke nje ya mada.
 
Ndugu wana JF.Ningependa kupata ufafanuzi kwa wale wanaojua kwamba kwanini Papa huingiaga msikitini ilhali yeye sio muislam na ukizingatia kwamba waislam hawaruhusu mtu yeyote asie muislam kuingia msikitini???

Popote unapoenda, una shida napo. Unaotaka waingie msikitini ilihali unajua kuwa wao si waislam, waingie huko kwa shida gani? Kukiwapo jambo la kuwaingiza huko naamini wataingia tu.
 
Popote unapoenda, una shida napo. Unaotaka waingie msikitini ilihali unajua kuwa wao si waislam, waingie huko kwa shida gani? Kukiwapo jambo la kuwaingiza huko naamini wataingia tu.

Kuingia na kuswali msikitini ni sawa kwa mkristo??
 
Kuingia na kuswali msikitini ni sawa kwa mkristo??

Ni maneno tu hayo. Kuswali na kusali ni kitu kile kile. Na popote pale muumini wa kweli huweza kuswali/kusali maana Mungu yupo popote. Hoja yangu ni kwamba asiyeingia msikitini huyo hana haja nako.
 
Hio picha ni wakati wale MAKAFIRI WA Afrika ya kati WALIOUWA WAISLAMU KWA JINA LA YESU.
Na hakuna KAFIRI YYT Aliyekemea MAUWAJI HAYO!

Mmezoea kuua wenzenu,mkitishiwa nyie maneno kibaaoo!
 

Are you the cult one....I mean Seventh Day Adeventist....

Ni uharo gani huu umeandika hapa....Nilikuwa sina mpango wa kuchangia chochote kwenye huu uzi ila umenifanya niandike...
 
Mwaka 1992 marehemu Pope John wa pili aliingia msikitini akiwa Jordan na kufanya ibada pamoja na waislam.

Mkuu, haiwezekani na walaa hairuhusiwi asilan ni Haram!... katika Islamic Teachings kufanza ibada/kusali na kiumbe asie Muislam!!

Sasa,huyo Pope alifanza Ibada ya aina gani na hao Waislam wa pale Jordan!? Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Ahsanta sana.
 
Papa aliingia msikitini mwaka 1992 nchini JORDAN na akiwa na sheikh mkuu wa Jordan na wakaswali pamoja.

Walisali pamoja kivipi!?...kwa kutumia kanuni zipi!?

Hivi unazifahamu kiundani nguzo za sala,nguzo za imani na nguzo za ibada za Waislam/Uislam!?

Watasali vipi pamoja wakti hata zile nguzo/fundamentals za imani/dini zao ni tafauti kabisa!?

Au unakusudia/unamaanisha yule Pope labda alitembezwa katika baadhi ya sehemu za hilo jengo la Msikiti!?

Kama ni hivyo,yawezekana ni kweli! Na hata Viongozi baadhi kama Rais Obama,Queen Elizabeth II,Leader of Greek Orthodox Church na Leader of Russian Orthodox Church...hawa woote nao wameshawahi kutembelea baadhi ya Misikiti na Taasisi za Kiislam duniani humu!

Ahsanta sana.
 
Wakristo ni waelewa na wanajitambua, so wapo flexible siyo kama Waislamu!
 

Mkuu umeshawahi kusikia watu wanao itwa Sabato Masalia/Matengenezo ak.a SDA....???
 
Huyo papa alisha silimu muda mrefu na ukweli anaufahamu sana
Hata mtangulizi wake nimsilimu

Endeleeni kupiga poyoyo poyoyo tu hapa
 
Huyo papa alisha silimu muda mrefu na ukweli anaufahamu sana
Hata mtangulizi wake nimsilimu

Endeleeni kupiga poyoyo poyoyo tu hapa

Siku nyingi ni lini...???
Nani alimsilimisha....??

Lete ushahidi hapa.......Vinginevyo wewe ndo mpiga poyoyo..
 
Tena kali sana.....Huyo mleta mada ni masalia kindakindaki......Nilikuwa naangali huu uzi nijue itaishia wapi......Sasa nimeona...

Mkuu ebu jibu hoja acha kuzunguka kama pia na kujifanya huoni.
 

Ina maana wewe hizo picha hujaziona na link?? nenda page number 2 upate ushahidi,acha kukurupuka kama moto wa gesi.
 
Mmezoea kuua wenzenu,mkitishiwa nyie maneno kibaaoo!

We mtoto wa zinaa! Mauwaji yaliotokea huko Afrika ya kati unayaita VITISHO??

Amma kweli KAFIRI siku zote hana aibu wala hajui vibaya.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…