Kwanini Askofu mkuu wa Roma huingiaga msikitini??

Kwanini Askofu mkuu wa Roma huingiaga msikitini??

Status
Not open for further replies.
si kweli kuwa waislam hawaruhusu mtu asiye kuwa muislam aingie msikitini. mtu yoyote anaruhusiwa kuingia msikitini bila kujali dini yake ili mradi afate masharti kama vile kuvua viatu na kwenda kutia udhu. sema akishaingia msikitini haruhusiwi kusali hadi asilimu. ACHA KUKALILI NDUGU.

Pamoja na papa kuingia msikitini na ALISWALI PICHA HIYO HAPO JUU.JE,ALISILIMU?? Nijibu mheshimiwa unaedai nakariri.
 
prev17.jpg
 
si kweli kwamba mtu asiye muislamu harusiwi kuingia msikitini,unaingia vizuri tu,ukiona mtu ana mkataza asiye muislam kuingia msikitini ujue elimu yake ndogo na aufaham uislam,cha msingi afate taratibu za pale,ila hataswali mpaka aamini,labda aswali kwa taratibu za dini yake,ndugu zangu hili jambo lilishatokea enzi za mtume,walimfata watu wasio waislam wakamkuta msikitini,wakawa wanafanya mazungumzo,ulipofika mda wa ibada yao wakamuomba waswali,akawaruhusu.
Ndugu wana JF.Ningependa kupata ufafanuzi kwa wale wanaojua kwamba kwanini Papa huingiaga msikitini ilhali yeye sio muislam na ukizingatia kwamba waislam hawaruhusu mtu yeyote asie muislam kuingia msikitini???
 
Mheshimiwa tedo uko wapi unijibie hili swali.tedo! tedo!! tedo!!! tedo!!!! tedo!!!!! njoo unijibie hili swali na ukishindwa na wewe UENDE MSIKITINI umfwate baba mtafujo wako.
 
waislam wa nchi za mbele kidogo wanaustaarabu lakini wa hapa bongo huwa wanatamani dunia hii wengekua peke yao ila bahati mbaya allah wao anaendelea kuproduce makafiri........tafakari
 
si kweli kwamba mtu asiye muislamu harusiwi kuingia msikitini,unaingia vizuri tu,ukiona mtu ana mkataza asiye muislam kuingia msikitini ujue elimu yake ndogo na aufaham uislam,cha msingi afate taratibu za pale,ila hataswali mpaka aamini,labda aswali kwa taratibu za dini yake,ndugu zangu hili jambo lilishatokea enzi za mtume,walimfata watu wasio waislam wakamkuta msikitini,wakawa wanafanya mazungumzo,ulipofika mda wa ibada yao wakamuomba waswali,akawaruhusu.

Lakini papa aliingia na hakusilimu na AKASWALI tena akakaa mbeleee.Unasemaje hapo kwenye picha????
 
waislam wa nchi za mbele kidogo wanaustaarabu lakini wa hapa bongo huwa wanatamani dunia hii wengekua peke yao ila bahati mbaya allah wao anaendelea kuproduce makafiri........tafakari

Mbona Saudia si Tanzania na hawaruhusu kujenga makanisa MAKKA ila mheshimiwa PAPA yeye ANAPENYA TU na kuingia hadi msikitini tena na kuswali juu? KUNA SIRI GANI HAPO??
 
watu wenye hekima huuliza wale wasiyoyafahamu,usipigilie msumari vitu usivyo na elim navyo,jambo kama ulifaham waulize wenye kujua,sikia enzi za mtume msikit ulitumika kwa shughuli mbali mbali ikiwemo kutatua migogoro,ivyo basi hata wasio kuwa waislam waliingia msikitini kwa maswala mengine,ila kufanya ibada ndo lengo kuu la msikiti.
Mkuu kanisani ni kwa ajili ya wote ila msikitini si unajua lazima uwe muislam,sasa nashangaa papa yeye aliruhusia akaingia na akapiga dua na waislam japo sio muislam.
 
sioni uajabu wowote...sana saana watu wnakuwa wana attitude tofauti!!
 
Lakini papa aliingia na hakusilimu na AKASWALI tena akakaa mbeleee.Unasemaje hapo kwenye picha????
Kukaa mbele katika uislam sio kama ndio utukufu ama cheo la hasha,kwan hata imamu akichelewa akikuta ibada anakaa nyuma{safu ya nyuma}
 
1957886.jpg

Papa Benedict XVI
Sunday, May 10, 2009 5:39 AM
Papa Benedict XVI ameingia na viatu vyake msikitini alipotembelea msikiti mkubwa wa nchini Jordan uliopo katika jiji la Amman.

[TD="colspan: 3"] Papa Benedict Aingia na Viatu Vyake Msikitini Jordan [/TD]

Msemaji wa Papa Benedict XVI alisema kwamba Papa hakuwa na nia ya kuonyesha dharau yoyote kwa uislamu kwa kutovua viatu vyake kwani muongozaji wake hakumwambia avue viatu vyake.

"Papa hakumaanisha kuonyesha dharau kwa Uislamu kwa kutokuvua viatu vyake kama desturi za kiislamu zinavyosema wakati alipoingia na viatu kwenye msikiti wa Al-Hussein wa jijini Amman" msemaji wa Vatican Federico Lombardi alisema.

"Papa Benedict XVI alikuwa amejiandaa kuvua viatu lakini muongozaji wake alimwongoza njia maalumu na hakumwambia avue viatu vyake" alisema msemaji huyo wa Vatican.

Msemaji huyo aliongeza kusema kuwa Papa anajua fika kwamba inabidi kuvua viatu kabla ya kuingia msikitini.

Wakati wa ziara yake katika msikiti wa Bluu wa jijini Istanbul nchini Uturuki mwaka 2006, Papa alivua viatu vyake.

Papa wa zamani John Paul II alivua viatu vyake wakati alipotembelea msikiti mkubwa wa jijini Damascus mwaka 2000.
 
Walio wazima hawamuhitaji DACTARI Bali wale walio WAGONJWA!Asema BWANA!

Papa naona anaifata Injili kwa ukamilifu kabisa!

UKRISTO ni UPENDO!
Na haya ndiyo mafundisho ambayo mara zote Yesu Kristo alifundisha na watu wakashangaa!

DINI ya kweli hutumii nguvu kuijua,utaiona tu kwa matendo ya wanaoifuata!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom