Kufanya ibada tena? Hii naomba ushahidi babaaa.... maana ibada za kiislam hazifanyiki hivi hivi tu.... na kama alifanya ibada basi ujuwe kuwa alisilimu....
Like I said earlier.. think before you lip! !!
Umeeleza vizuri hapo, lakini hili swali ingefaa uwaulize waislam wa nje ya JF. waislam wa JF huwa hawana majibu zaidi ya matusi. tarajia matusi zaidi.Ubaya ni kwamba waislam hawamruhusu mtu yeyote asie muislam kuingia msikitini na kuswali nao pamoja mpaka uwe umesilim.sasa najiuliza papa ye alifanyeje mpaka wakamkubalia??
au kusujudia jiwe jeusi kama lilee la makka kisha unalitandika vitofa kumkulupua shetani...Yani watu wanafunga safari kwenda makka kupiga mawe shetani aamke nyumbani kwake cjui aende wapi
wanaolumbania dini huwa ni watu maskini tu kama akina ponda ila viongozi wote wakuu wa hizi dini beyond the scene together their sailing in one boat......
na anaswariwa (kuombewa)sijui alikosa nini mpaka aswariwe
Ubaya ni kwamba waislam hawamruhusu mtu yeyote asie muislam kuingia msikitini na kuswali nao pamoja mpaka uwe umesilim.sasa najiuliza papa ye alifanyeje mpaka wakamkubalia??
AKATWAKATWA VIDOLE KWASABABU YA KUSOMA BIBLIA UARABUNI
The Punishment for reading a Bible in Saudi Arabia - photo
Ever had a cut in your finger and it hurts like mad? Well... (This is a photo...
themuslimissue.wordpress.com
Ni nchi ya Kiislam na wanafuata Uislam.
Qur'an (5:51) - "O you who believe! do not take the Jews and the Christians for friends; they are friends of each other; and whoever amongst you takes them for a friend, then surely he is one of them; surely Allah does not guide the unjust people."
au kusujudia jiwe jeusi kama lilee la makka kisha unalitandika vitofa kumkulupua shetani...Yani watu wanafunga safari kwenda makka kupiga mawe shetani aamke nyumbani kwake cjui aende wapi
KUMBE MUHAMAAD HAKUTUMWA KWA ULIMWENGU! ALITUMWA KWA WAARABU!
(Quran Suratul Ibrahim 14:4)
Na hatukumpeleka Mtume yoyote isipokuwa kwa WATU WA LUGHA YAKE ili apate kuwabainishia Kisha Mwenyezi Mungu anamuacha kupotea amtakaye kwa kuwa mwenyewe hataki kuongoka na humuongoza amtakaye. Naye ni Mwenye nguvu na Mwenye hikima.
Watu wa lugha yake ni Waarabu! Wengine wanadanganywa tu!!
NDIYO MAANA WATU WA LUGHA NYINGINE WALIUKATAA UISLAMU,IKAMLAZIMU KUTUMIA JIHADI KUUENEZA![/QUO
Ni nchi ya Kiislam na wanafuata Uislam.
Qur'an (5:51) - "O you who believe! do not take the Jews and the Christians for friends; they are friends of each other; and whoever amongst you takes them for a friend, then surely he is one of them; surely Allah does not guide the unjust people."
Kufanya ibada tena? Hii naomba ushahidi babaaa.... maana ibada za kiislam hazifanyiki hivi hivi tu.... na kama alifanya ibada basi ujuwe kuwa alisilimu....
Like I said earlier.. think before you lip! !!
Jiulize hili:
Kama ni nchi ya kiislam na wanafuaya uislam mbona best friend wao ni Mmarekani anaewauwa waislam kila kukicha?
And what has that verse you have quoted got to do with entering masjids? Yes Jews and Christians are best buddies... don't Christian call jews "taifa teule?" Aren't American regimes always favouring the interest of Israel regardless of their crimes against humanity?
Stop arguing like a primary school drop out... bring something with context please.