Basi tena tutafanyaje ...Bongo bahati mbaya kiongozi
Kwenye colour spectrum kila rangi Ina frequency zake, frequency varies inversely proportion to wavelength,, kwa maana nyingine pia ni kuwa kila rangi pia Ina wavelength yake,Swali la msingi kwanini tuone Blue tu sio kijani? Nyesui etc...?
Mwifwa karibu..utusaidie upande wa bayolojia
Umenikumbusha enzi hizo nasoma...ukichora tu hivyo ticha anakupa marks zote hata kama kamchoro ni kauongoKuna kitu inaitwa 'scattering' kama inavojulikana kwamba mwanga wajua una range tofauti za rangi na zenye wavelength tofauti kutoka x-ray hadi hizo blue..
Turudi kwenye swali.. why anga ni la blue.. sababu ni mwale unapotoka kwenye jua unabeba waves tofauti za rangi tofauti. Ktk hizo range rangi y blue ina wavelength kubwa yaani kipenyo chake kutoka crest moja kwenda nyingine, pia kitu chenye wavelength kubwa kina frequency ndogo ya kupenya vitu.. mfn xray ina frequency kubwa na wavelength ndogo ivyo unaweza pata pich ya mifupa.
Angani kuna particles tofauti, za gas na dust.. rangi ya blue inapogonga izo particles inatawanyika 'scattering' hivyo basi tunaona rangi ya blue.
Nimejaribu kudadavua ...
View attachment 1245596

Hata waliosoma phizikia hawajatoa majibu kama yako.Mkuu nilisoma physics form 4 kwenye topic ya light nilifundishwa kuwa huo ndo mwisho wa macho yako kuona,si kwamba kuna kitu cha blue huko ila ni space tu, sasa sijui why blue hata kama ndo end of eye vision,nahisi ningesoma physics zaidi ningepata jibu.Ameeen
Kuchora inaonesha umekwiva hahahahaUmenikumbusha enzi hizo nasoma...ukichora tu hivyo ticha anakupa marks zote hata kama kamchoro ni kauongo![]()
![]()
![]()
Kabisa mdau kama hujui mada pita kimya kimya uende kulala. Sikila kitu unajua.Usipende kutoa majibu mepesi kama hujui tulia.....
Na ww unataka kufahamu Ndo maana unataka nikshakua mbwa nkafahamu nirudi kusema. Well hilo haliwezekani mkuu. Suggest another way.Ukitaka kujua mbwa anaona rangi gani, jibadilishe uwe mbwa afu uje utambie..
Lkn maji ya bahari si blue
Jibu mjarabu.Nakupa mfano mwepesi sana usipotafakari basi ukalale: Maji ya Ziwa , Maji ya Bahari ukiwa mbali huonekana Blue but ukisogea ukayachota yanakuwa Hayana rangi (colorless ) Hii inakuonyesha sehemu yoyote yenye kina kirefu ikipata mwanga kwasababu inakuwa aina mwisho kwa upeo wa macho yako basi huliflect rangi ya Retina ndani ya jicho la mwanadamu kuashiria hakuna Reflaction ya kutengeneza object ndani mfumo wa jicho.
Jibu mjarabuNakupa mfano mwepesi sana usipotafakari basi ukalale: Maji ya Ziwa , Maji ya Bahari ukiwa mbali huonekana Blue but ukisogea ukayachota yanakuwa Hayana rangi (colorless ) Hii inakuonyesha sehemu yoyote yenye kina kirefu ikipata mwanga kwasababu inakuwa aina mwisho kwa upeo wa macho yako basi huliflect rangi ya Retina ndani ya jicho la mwanadamu kuashiria hakuna Reflaction ya kutengeneza object ndani mfumo wa jicho.