Hahahaha bwege kweli Wewe unajibu kama wanasiasaZipo rangi nyingi katika anga lakini iliyosambaa zaidi ni bluu.
Hahahaha bwege kweli Wewe unajibu kama wanasiasaZipo rangi nyingi katika anga lakini iliyosambaa zaidi ni bluu.
unaona blue kutokana na muda Mkuu,ukiwa na njaa hakuna rangi utaacha ona zote zitakuwepo
Ulipata geography ngapi mkuuAsilimia kubwa ya Dunia ni maji, bahari imeipita ardhi kwa asilimia za mraba..
Anga inapata rangi ya BLUE kutokana reflection ya jua kupiga kwenye maji, yaani UBULUU wa Anga ni kioo cha maji..
Wakati wa Usiku Anga huwa nyeusi, kwasababu hakuna Jua linalomurika maji likapeleka mwana wa Blue Angani.. 😊😊😊😊
Kwanini mkuu?I'm born genius, Geography ya kwanini Anga iko BLUE haisomeshwi ShuleniUlipata geography ngapi mkuu
swali la msingi,possibly swali bora la mweziUlipata geography ngapi mkuu
Mkuu,Nikuulize, unafikiri kwanini rangi ya BAHARI au MITO yako Blue??Ulipata geography ngapi mkuu
Ni mwanga tuu ule mkuuMkuu,Nikuulize, unafikiri kwanini rangi ya BAHARI au MITO yako Blue??
Hilo jibu nililotoa ndio jibu sahihi kwa level ya muuliza swali otherwise nikimchangulia zaidi hataona ndani..swali la msingi,possibly swali bora la mwezi
Ndio ni mwanga, kwanini huo mwanga uwe BLUE, nafikiri hilo ndio lilikuwa swali lako kwa another angle..Ni mwanga tuu ule mkuu
Ndio ni mwanga, kwanini huo mwanga uwe BLUE, nafikiri hilo ndio lilikuwa swali lako kwa another angle..
[/QUOT
Yes unaweza ukajibu nalo
Kwanini mwanga usiwe rangi nyengine, kwanini uwe BLUE, ??
Mkuu kwa kweli sina majibuHilo
Hilo jibu nililotoa ndio jibu sahihi kwa level ya muuliza swali otherwise nikimchangulia zaidi hataona ndani..
Ukiichukulia Dunia kama ilivyo sehemu ya maji hasa ya bahari ni kubwa mara mbili ya sehemu ya arthi..
Swala, Je kwanini maji ya bahari ni ya BLUE..??
Ukijibu hilo Swala utakuwa umemjibu kwanini Anga iko Blue..?
Mmh, huyo alieuliza mwanzo, kwanini Anga ni ya BLUE nae hana jibu,.. Nakwenda kusali, I'll be back, stay tuned..Mkuu kwa kweli sina majibu
Naelewa mkuu sema wengi wametoa majibu upande wa phizikia mimi nilitaka kwa biolojia hasa upande wa jicho...Eeeh hii thread sikuiona
Swalli tuliulizwaga hili zamani sana adavance
Nadhani ushapata majibu yake
Ni mambo ya scattering of light
Sababu blue color ipo scattered more kuliko colors zingine sababu yenyewe inasafiri kwa wavelength fupi na ndogo
Sijui hata kama umenielewa ? +
Aisee... Mzee hapo tunaingia kwenye mambo ya retinaNaelewa mkuu sema wengi wametoa majibu upande wa phizikia mimi nilitaka kwa biolojia hasa upande wa jicho...
Vitu tunaviona kwa rangi zao kwa sababu vina akisi rangi husika na kumeza rangi zingine. Mfano kitu chekundu, kina "pigments" ambazo zina akisi "reflect" rangi moja tu nyekundu katika mwanga na kumeza zingine. Hiyo rangi inayoakisiwa ndio tunaiona sisi.Nafikiri ni kweli mkuu, halafu nadhani kuna binadamu wana tatizo la macho(color blind)Kama ni kweli simba anaona black and white inamaana hizi rangi tunazo sisi kwenye macho yetu tunazpachika kwenye object. Sasa object zina rangi gani?