Ulisoma geo hadi darasa la ngapi mkuu..Mkuu,Nikuulize, unafikiri kwanini rangi ya BAHARI au MITO yako Blue??
La saba Mkuu,. Jibu swali kwanini maji ya Bahari yako Blue..?Ulisoma geo hadi darasa la ngapi mkuu..
Nikuambie kitu... anga ndio lisababishalo maji yawe na mwonekano huo... maji hayanaga rangi
Unalingine?La saba Mkuu,. Jibu swali kwanini maji ya Bahari yako Blue..?