Kwanini anga lina rangi ya blue?

Kwanini anga lina rangi ya blue?

Kasema kitu kizito sana hapaswi kuachwa ivyo... hukimuacha bila kujua ukweli nayo ni dhambi.... Hata shuleni kulikuwa na mwalimu mkali na mpole ... so usiogope watu wengine kuwa negative... yaani namaanisha usipende kudekadeka.
Hahaha nimekuelewa mkuu. Wanao wanapata tabu sana
 
Tunaona bluu kwa sababu rangi ya bluu inasafiri in small and shortwave length hivyo kutawanywa pande zote zaidi kuliko rangi zote hasa red wakati wa mchana na air molecules, kwa hiyo anga ni la bluu sababu ya scattering. Pia wakati wa jioni red color inakuwa scatterd more ndio maana wakati jua linazama anga huwa jekundu. Soma zaidi rayleigh scattering
 
We umejuaje kama simba wanaona black and white? Kwani wewe umewahi kuwa simba?
Mimi hata gas sijawahi kuziona
Dah.... Inamaana hata mmesahau kale ka definition ka Gas ... (a substance or matter in a state in which it will expand freely to fill the whole of a container, having no fixed shape (unlike a solid) and no fixed volume (unlike a liquid).
 
Tunaona bluu kwa sababu rangi ya bluu inasafiri in small and shortwave length hivyo kutawanywa pande zote zaidi kuliko rangi zote hasa red wakati wa mchana na air molecules, kwa hiyo anga ni la bluu sababu ya scattering. Pia wakati wa jioni red color inakuwa scatterd more ndio maana wakati jua linazama anga huwa jekundu. Soma zaidi rayleigh scattering
Nitafuatilia kiongozi Ahsante
 
Now unaenda sehem nilipokua napataka.. watu wanjibu hili swali langu bila kufatilia kiini cha mada.. mfano Simba anaona Black n whites..
Nafikiri ni kweli mkuu, halafu nadhani kuna binadamu wana tatizo la macho(color blind)Kama ni kweli simba anaona black and white inamaana hizi rangi tunazo sisi kwenye macho yetu tunazpachika kwenye object. Sasa object zina rangi gani?
 
Kwa hiyo nani anamuakisi mwenzake, Bahari ni ya Blue au anga ni la Blue na kama blue bahari ni ya blue hiyo inatoka wapi mbona maji yake na sakafu sio ya blue
Inaonekena blue kwasababu ya mwanga wa jua Kuakisi Maji ya Bahari.

Kama unavojua, Asilimia kubwa ya sehemu ya dunia ni BAHARI.
 
Nakupa homework kidogo, kama mtaani kwenu kuna kipofu mtafute jenga naye mazoea ,, Then shika kitu muulize hiki ni Rangi gani ?..... Ukipata jibu Rudi kwenye uzi huu sema alikujibu nini....
Hakuna Kipofu ninayemfaamu mtaani kwetu boss.
 
Bonge moja la mada, ngoja nikipata time nzuri nitakuja nidadavue vya kutosha, japo kuna mmoja hapo juu ameligusia vizuri sana hasa kwenye image formation ndani ya Retina
 
Labda mimi nijaribu kutoa jibu:
Anga ni la blue kwa sababu ya uzio "firmament" ambayo Mungu muumbaji ameiweka.
Hiyo firmament ni crystal clear kama covering ya barafu ngumu iliyotandaa ni kama "bahari ya kioo" hivyo kunapokuwa na mwanga wa jua, ambao ndani yake kuna nishati, mwanga wa jua una rangi zionekanazo kwa macho kama saba hivi, Blue colour ni miongoni mwa rangi hizo, kila rangi ina kazi yake hata hiyo blue ina kazi yake.
Wayahudi wa kipindi cha Musa waliamuriwa kushona kwenye fito za mavazi yao rangi ya Blue, pia miimo ya milango ilipakwa rangi ya Blue kuashiria na kuwakumbusha kutii amri za Mungu kila waonapo rangi ya Blue, hata hekalu la zamani, ua wake ulikuwa wa Blue maana yake hiyo hiyo Sheria na Amri za Muumbaji.
Hivyo anga lote linatangaza amri za Mungu, na kila binadamu mwenye uhai anapaswa kuishi kwa hizo. BLUE colour ni nishati iendeshayo life ulimwenguni.
Swali la msingi kwanini tuone Blue tu sio kijani? Nyesui etc...?
Mwifwa karibu..utusaidie upande wa bayolojia
 
Ni kwa sababu asilimia 75 ya dunia imezungukwa na maji.
 
Kwani biblia haiwezi kuwa referred, mbona mnaiogopa sana bible kama kitabu cha washamba?
Usipende kusoma kitabu kimoja (Bible) soma vitabu na source mbalimbali za taarifa ili ufanye tafsiri sahii ya kitu unachoweka ndani ya kichwa chako.........
 
Ukitaka kujua mbwa anaona rangi gani, jibadilishe uwe mbwa afu uje utambie..
Hivi ni object ndo zina rangi au sisi ndo tunapachika rangi kwenye object? Mfano chura, fisi, swala, ng'ombe, simba n.k nao wanaona blue au rangi nyingine? Au wakiangalia let's say mkate, wanaona rangi kama tunazoona sisi? Kama ni rangi nyingine wanaona then object huwa zina rangi gani halisi?
 
Sio kweli kwamba simba anaona black and white, hiyo ni theory tu. Nani alishawahi kuwa simba...
Now unaenda sehem nilipokua napataka.. watu wanjibu hili swali langu bila kufatilia kiini cha mada.. mfano Simba anaona Black n whites..
 
Wabongo huwa tunadhani kitu kikifafanuliwa kwa kiingereza basi ndo jibu sahihi.
Sunlight reaches Earth's atmosphere and is scattered in all directions by all the gases and particles in the air. Blue light is scattered more than the other colors because it travels as shorter, smaller waves. This is why we see a blue sky most of the time.
 
Swali zuri sana. Kwa mujibu wa neno la Mungu kinachoonekana cha blue ni Maji yaliyofungiwa kwenye kitu kama kioo.

Kwa utangulizi neno linasema

Mwanzo 1:1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.

Mwanzo 1:2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.

Sasa unachokiona ni blue ni maji ya juu.
Mwanzo 1:6 Mungu akasema, Na liwe anga katikati ya maji, likayatenge maji na maji.

Mwanzo 1:7 Mungu akalifanya anga, akayatenga yale maji yaliyo juu ya anga na yale maji yaliyo chini ya anga; ikawa hivyo.
mkuu unazidi kucomplicate mambo hapa; kwahiyo unataka kusema kuwa tunaishi chini ya maji ?
 
Tunaona bluu kwa sababu rangi ya bluu inasafiri in small and shortwave length hivyo kutawanywa pande zote zaidi kuliko rangi zote hasa red wakati wa mchana na air molecules, kwa hiyo anga ni la bluu sababu ya scattering. Pia wakati wa jioni red color inakuwa scatterd more ndio maana wakati jua linazama anga huwa jekundu. Soma zaidi rayleigh scattering
na hiki ndio nijuacho,
kwa kuongezea tuu, n kwamba rangi hii ya blue hutolewa na jua(jua lina rangi takriban 7, kaa ukijua zile rangi zote unazoziona kwenye upinde wa mvua ndio zipo kwenye jua kwa mpangilio ule ulee),
kwenye ule mpangilio wa light spectrum(vuta picha ya upinde wa mvua) inaanza yenye wavelength kubwa ambayo ni RED kuelekea yenye wavelength ndogo ambayo ni VIOLET,
Ukiangalia ya pili kutoka mwisho ni blue na ya mwisho ndio hio violet ambayo ina short wavelength kuliko zote,
Kumbuka yenye short wavelenght ndio rahisi kusambaa hivyo ni rahisi kuiona

swali: je ni kwa nn hatuoni anga au bahari ikiwa na rangi ya violet yenye wavelengh ndogo kuliko blue(kumbuka yenye wavelength ndogo ndio rahisi kusambazwa na rahisi kuiona)

Jibu: violet inasifa yakua absorbed katka atmosphere hivyo kufifia/kutofika/kupungua nguvu hivyo reflection yake inakua ndogo kwenye macho yetu,
kwa ufupi macho ya binadamu ni more sensitive to blue colour kulinganisha ni violet.

Na hii ndio sbb bahari huonekana ya blue sbb ya reflection, nenda baharini angalikiwa jeupe km utaona bahari ya blue.

Kitu kingne unachopaswa kuelewa ni
HAKUNA KITU CHENYE RANGI YAKE DUNIANI; WALA HAKUNA RANGI KATIKA ULIMWENGU HALISI BALI hizi rangi tuonazo ni THEORETICALY,
ILA TUU KUNA MWANGA WENYE WAVELENGHT(HII NDIO HULETA RANGI) TOFAUTI.

Rangi ni matokeo ya Vitu vitatu :
Mwanga mweupe(mwanga mweupe unabeba rangi zotee),
uwezo wa jicho lako na
Brain perception.
Na ndio maana Kuna mda unaona watu wakibishana kuhusu rangi,
hii ni kwa sbb ya utofaut wa uwezo wa macho, mitazamo ya ubongo na amount of light reflected toward each of you.

Kila kiumbe kina uwezo wake wa kuona rangi tofauti tofauti kulingna na type za cons alizonazo,

wakiongozwa na Ndege, samaki, Nyukii, wadudu hawa wanaona mpk ultraviolet light, sbb wanatype nne za cons(sitazungumzia kuhusu cons this is simple Biology karbun wote tulisoma, wala sitazungumzia light inavyofanya kazi kwenye cornea this is simple Physics ya O-level ambayo weng tumesoma n suala la kukumbuka tuu),
kwa waliosoma Baadhi ya kozi za chemistry vyuoni watakumbuka Organic Spectroscopy, masuala ya NMR, resonance, infrared, ultraviolet spectroscopy, hii kitu si shida,

Hawagusii inavyofanya kazi wenye jicho ila inazungumzia sana wavelength na frequency ambavyo ndio nguzo kubwaa,
maelezo ya wavelength na frequency yamejaa kule, wazee weng wa CONAS hope tunaelewanaa....

Hao viumbe hapo juu haina ubishi ya kua wamepewa uwezo mkubwa wa kuona rangi nyingi kutokana na life style yao inayotegemea mwanga sana mfn ktk kujipatia chakula, hilo halina ubishi kwa ndege, wadudu na nyuki wote tunaelewa.

Baada yao tunafuatia binadamu wenye corns tatu pamoja na apes na chimps, sisi rangi zetu kubwa ni Blue, green, na red(rangi zote uzionazo ww ni matokeo ya hizi rangi tatu, uwezo wa macho na brain perception ndio vitaamua uone ipi, mfn yellow ni matokeo ya mchanganyiko wa red na green n.k n.k
NA KM ULIKUA HUJUI , TV ZINATENGEZWA KWA HIZO RANGI TATU TUU, HAYO MARANGI MENGNE UNAYO YAONAGA NI MAPICHA PICHA TU YA JICHO LAKOO

Paka, panya, mbwa ni kundi la wanyama wanaaoona rangi chache sanaa, wao rangi zao kubwa ni black and white, Sbb n kwamba wao hawatumii sana cornea bali hutumia rods ambazo huhusika ktk low light reflection na zipo sensitive to black and white colour tuuu.

aisee nashindwa kuandika vyote hapa km una swali uliza, pia narudusu kukosolewa, kusahihishwa na kupingwa, hizi elimu zote ni mapokeo, pokea ujue, hujui leo kesho unajua...
Ahsante....
 
Back
Top Bottom