Mtundu wa Tech
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 642
- 611
Naendelea kujifunza hapa maana mimi nilikimbia umande

na hiki ndio nijuacho,
kwa kuongezea tuu, n kwamba rangi hii ya blue hutolewa na jua(jua lina rangi takriban 7, kwa ufupi zile rangi zote unazoziona kwenye upinde wa mvua ndio zipo kwenye jua kwa mpangilio ule ulee), kwenye ule mpangilio(light spectrum) km sikosei inaanza red ambayo ina high wavelengt, ya pili kutoka mwisho ni blue na ya mwisho ni violet ambayo ina short wavelength kuliko zote,
yenye short wavelenght ndio rahisi kusambaa hivyo ni rahisi kuiona
swali: je ni kwa nn hatuoni anga au bahari ikiwa na rangi ya violet yenye wavelengh ndogo kuliko blue(kumbuka yenye wavelength ndogo ndio rahisi kusambazwa na rahisi kuiona)
Jibu: violet inasifa yakua absorbed katka atmosphere hivyo kufifia/kutofika/kupungua nguvu hivyo reflection yake inakua ndogo kwenye macho yetu,
kwa ufupi macho ya binadamu ni more sensitive to blue colour kulinganisha ni violet.
Kuna kitu inaitwa 'scattering' kama inavojulikana kwamba mwanga wajua una range tofauti za rangi na zenye wavelength tofauti kutoka x-ray hadi hizo blue..
Turudi kwenye swali.. why anga ni la blue.. sababu ni mwale unapotoka kwenye jua unabeba waves tofauti za rangi tofauti. Ktk hizo range rangi y blue ina wavelength kubwa yaani kipenyo chake kutoka crest moja kwenda nyingine, pia kitu chenye wavelength kubwa kina frequency ndogo ya kupenya vitu.. mfn xray ina frequency kubwa na wavelength ndogo ivyo unaweza pata pich ya mifupa.
Angani kuna particles tofauti, za gas na dust.. rangi ya blue inapogonga izo particles inatawanyika 'scattering' hivyo basi tunaona rangi ya blue.
Nimejaribu kudadavua ...
View attachment 1245596

Kwa nini maji ya bahari ya Blue?Inaonekena blue kwasababu ya mwanga wa jua Kuakisi Maji ya Bahari.
Kama unavojua, Asilimia kubwa ya sehemu ya dunia ni BAHARI.
Naendelea kujifunza japo nilikimbia physics
Hii asilimia 75 ya dunia ulitumia kipimo kupima gani mkuu?Ni kwa sababu asilimia 75 ya dunia imezungukwa na maji.
Hahaha Hongera sana mkuu. Umefanya vizuri sana wenyewe husema Learning never exhaust the Mind. So una mtaji wa kutosha kichwani...umenikumbusha sana kwenye mambo ya Umeme na WaveKuna kitu inaitwa 'scattering' kama inavojulikana kwamba mwanga wajua una range tofauti za rangi na zenye wavelength tofauti kutoka x-ray hadi hizo blue..
Turudi kwenye swali.. why anga ni la blue.. sababu ni mwale unapotoka kwenye jua unabeba waves tofauti za rangi tofauti. Ktk hizo range rangi y blue ina wavelength kubwa yaani kipenyo chake kutoka crest moja kwenda nyingine, pia kitu chenye wavelength kubwa kina frequency ndogo ya kupenya vitu.. mfn xray ina frequency kubwa na wavelength ndogo ivyo unaweza pata pich ya mifupa.
Angani kuna particles tofauti, za gas na dust.. rangi ya blue inapogonga izo particles inatawanyika 'scattering' hivyo basi tunaona rangi ya blue.
Nimejaribu kudadavua ...
View attachment 1245596
Sayansi tamu sana mkuu na nirahisi sana sema 3rd world countries kiatu cha sayansi ni kikubwa mnooHahaha Hongera sana mkuu. Umefanya vizuri sana wenyewe husema Learning never exhaust the Mind. So una mtaji wa kutosha kichwani...umenikumbusha sana kwenye mambo ya Umeme na Wave
Ni kwa sababu asilimia 75 ya dunia imezungukwa na maji.
Kuna kitu inaitwa 'scattering' kama inavojulikana kwamba mwanga wajua una range tofauti za rangi na zenye wavelength tofauti kutoka x-ray hadi hizo blue..
Turudi kwenye swali.. why anga ni la blue.. sababu ni mwale unapotoka kwenye jua unabeba waves tofauti za rangi tofauti. Ktk hizo range rangi y blue ina wavelength kubwa yaani kipenyo chake kutoka crest moja kwenda nyingine, pia kitu chenye wavelength kubwa kina frequency ndogo ya kupenya vitu.. mfn xray ina frequency kubwa na wavelength ndogo ivyo unaweza pata pich ya mifupa.
Angani kuna particles tofauti, za gas na dust.. rangi ya blue inapogonga izo particles inatawanyika 'scattering' hivyo basi tunaona rangi ya blue.
Nimejaribu kudadavua ...
View attachment 1245596
Nikuambie kitu... anga ndio lisababishalo maji yawe na mwonekano huo... maji hayanaga rangi
Hapo vipi!The oceans obvious
Nikuambie kitu... anga ndio lisababishalo maji yawe na mwonekano huo... maji hayanaga rangi
Denver,pia kwa nini bahari maji yake yana rangi ya blue ikiyatazama kwa mbali,mwacheni Allah aitwe Allah.
Nikuambie kitu... anga ndio lisababishalo maji yawe na mwonekano huo... maji hayanaga rangi
[/QUOT
Asante brother kwa elimu
Reflection... chukulia maji ni kioo anga ni wewe ..😊😊😊
Wengine husema bahari inaonekana ina rangi ya blue kwasababu inaakisi rangi ya angaInaonekena blue kwasababu ya mwanga wa jua Kuakisi Maji ya Bahari.