Waulize Japan vita iliishaje, hadi leo mngekuwa mnatawaliwa na hitlaMnapokosea hamuonyeshi hayo matokeo, zaidi ya story za Sayansi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waulize Japan vita iliishaje, hadi leo mngekuwa mnatawaliwa na hitlaMnapokosea hamuonyeshi hayo matokeo, zaidi ya story za Sayansi tu.
Waulize Japan vita iliishaje, hadi leo mngekuwa mnatawaliwa na hitla
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu unajua kuhusu kazi za Einstein? Sijui unatoa wapi ujasiri wa kusema Einstein was greater than NewtonHuyu jamaa ni hatari sana wengine wanasema Newton mkali zaidi na wengine tesla
Lakini Einstein anawazidi mbali namkubali Newton lakini equation zake ni ndogo ndogo mbele ya Einstein na Tesla yupo practical sana
Kiufupi huyu ndio the greatest scientists of all time
Alafu bro, hushawahi kujiuliza ni kwanini kila mataifa yanaposimama kutaka kupigana yanasita? Unajua muda uliopita kata ya vita kuu ya 1 na ile vita kuu ya 2 na muda uliopita kufikia vita kuu ya 3? Ungemshukuru EinsteinMnapokosea hamuonyeshi hayo matokeo, zaidi ya story za Sayansi tu.
Alafu bro, hushawahi kujiuliza ni kwanini kila mataifa yanaposimama kutaka kupigana yanasita? Unajua muda uliopita kata ya vita kuu ya 1 na ile vita kuu ya 2 na muda uliopita kufikia vita kuu ya 3? Ungemshukuru Einstein
Sent using Jamii Forums mobile app
Newton alikuwa anadeal equation ndogo ndogo huwezi mlinganisha na eisteinKuna kitu unajua kuhusu kazi za Einstein? Sijui unatoa wapi ujasiri wa kusema Einstein was greater than Newton
Tatizo sio mtengeneza kisu, ila mtumiajiHeading was supposed to be Albert Einstein the Top Terrorist(Mgaidi bingwa duniani) the world had and will never have.
yeye alijenga bomb ilitumika kupasua Hiroshima and Nagasaki. Bomb hio iliathiri na bado enaendelea kuathiri kila kizazi cha Japan Tangu wakati huo hadi wa leo.
Hafai kuitwa mwana science, bali alikua mjambazi sugu.
Albert Einstein is perhaps most famous for introducing the world to the equation E=mc2. In essence, he discovered that energy and mass are interchangeable, setting the stage for nuclear power—and atomic weapons.Kwa ujumla wake hakuna anae penda kukutana na, adui yake, kwa mengi, kwa sababu za kiuchumi, kupoteza raia wao na mfano wake.
Sina cha kumshukuru Einstein mzee.
Kuna watu akili kubw ila siyo wanasiasa ndo maana hawatajwi mfano enrico Fermi, watu wa kaliba ya Einstein
Sent using Jamii Forums mobile app
jama alikua na roho chafu kuliko ya wanyama, inasemekana wazi pale Wikipedia yeye ndio mwanzilishi ya huo ushauri wa kuua namna hiyo. Na yeye kua mwanascience mkubwa, bila shaka alijua bomb yake itaathiri wakazi wa Japan na majirani wao hadi kizazi kutoka wakati huo milele.
Newton alikuwa anadeal equation ndogo ndogo huwezi mlinganisha na eistein
Einstein alikuwa anadeal equation za hatari General relatively
Ukitaka kuelewa zaidi Anza kufatilia kazi zao zisome kwa undani hata mm nilikuwa najua Newton ni balaa kisa kila sehemu yupo na imenichukua miaka mingi kukubali Einstein ni balaa
Jua liko juu yako au chini yako ? Hii ni universal knowledge mzee, vipi unakataa jambo ambalo liko wazi. Usipo kula unadhurika au hudhuriki ?
Nilikwambia tumesoma intro hujaona nilichokiandika ?
Wao wanapingana wenyewe kwa wenyewe ila hakuna mkweli kati ya wawili hao, marejeo yetu ni katika ukweli ndio maana nikasema hakuna theory inayoweza, kuifanya theory kuwa kweli na kinyume chake.
Theory ya Newton's law of universal gravitation inaonyesha uhusiano kati ya mass (tungamo) za two bodies katika umbali fulani, lakini huyu alipingwa na wale wa theory ya Cancellation,Einstein amekuja kuongelea kuongelea mambo expansion, ndio wakaenda mpaka katika redshift.
Muuaji hata awe na mazuri makubwa kama kulisha wakazi wa mji mzima kila siku, HATUMPENDI na kiboko yake inakuanga kumchinja pia bila rehema ya kuangalia ukarimu wake.Albert Einstein is perhaps most famous for introducing the world to the equation E=mc2. In essence, he discovered that energy and mass are interchangeable, setting the stage for nuclear power—and atomic weapons.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza, kuitenganisha Truth na Knowledge ?
Hio hapo..Unaweza, kuitenganisha Truth na Knowledge ?
Ni kitu kimoja hicho.