Kwanini Albert Einstein Alikuwa Genius?

Kwanini Albert Einstein Alikuwa Genius?

plan z

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
1,395
Reaction score
1,439
Hi Guys!

Wengi tunamfahamu Albert Einstein kwamba alikuwa scientist na hakuishia kuwa scientist tu pia alikuwa ni genius na smart sana. Alifanya mambo makubwa katika field yake na aligundua formula ambazo zimekuwa msaada sana katika sayansi. Mfano ile formula ya E=mc² mpaka leo hakuna derivation yake lakini inatumika na ni msaada sana kwenye tasinia ya sayansi, Einstein hakutoa derivation ya hiyo formula hivyo inatumika kibishi hivyohivyo na inaleta matokeo.

Mnamo April 17, 1955; Albert Einstein alipata tatizo la kuvuja damu ndani kwa ndani linalosababishwa na rapture kwenye ateri yake. Madaktari walipouchunguza mwili wake walisema upasuaji pekee(surgery) ndio unaoweza kuokoa maisha yake.

Lakini Albert Einstein alikataa kufanyiwa upasuaji. Einstein alisema " It is tasteless to prolong life artificially, i have done my share it's time to go". Akiwa na maana kwamba haina maana kulazimisha maisha, wakati wake umefika wa kuondoka.

Kabla ya Einstein kufariki alisisitiza wasifanye uchuguzi wowote kwenye mwili wake. Einstein aliogopa wasije wakamchunguza wakauchukua ubongo wake.

Kesho yake Einstein alifariki hospitalini, ilikuwa ni tarehe 18, April 1955. Thomas Harvey, a pathologyst alipewa kuuangalia mwili wa Einstein.

Lakini Harvey aliuiba ubongo wa Einstein kwa siri na kutoweka nao. Harvey aliufanyia uchunguzi kwa muda wa miaka 40 mizima na baadae aliamua kufichua siri kwamba yeye ndiye aliyeuiba na aliwakabidhi wanasayansi ubongo huo.

Wanasayansi walipouchunguza ubongo wa Einstein walishtushwa na ubongo wake ulivyo. Ubongo wa Einstein ulikuwa na 17% more neurons, ukilinganisha na mtu wa kawaida, na hii imesababisha synapses kuwa fired kwenye ubongo wa Einstein, hii ilikuwa inaupa ubongo wake nguvu zaidi.

Wanasayansi walipouchunguza zaidi ubongo wa Einstein waligundua ubongo wake ulimiss wrinkle inayoitwa Parietal Operculum. Hii ilisababisha ukubwa wa Parietal Lobe uongezeke kwa 20% ukilinganisha na mtu wa kawaida. Hili eneo linahusika na Math skills na Mental images. Hii ilimwongezea uwezo wa kufikiri.

Historia ya Albert Einstein ni ndefu na alifanya mambo mengi makubwa na ya kushangaza. Leo tumeangalia tu sababu ambazo huenda zilimfanya Albert Einstein awe genius na smart.

View attachment:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna silaha kubwa na inayoogopeka kama Ubungo wa Mwanadamu. R.I.P ALBERT
 
Heading sio mbaya kivile kwani ndani ya mada ndipo kuna majibu ya sababu ya ugenius wa Albert Einstein.
Mkuu kuandika biography za watu makini huna budi kuwa makini pia, heading yako haieleweki kama niswali au ni statement?

Aidha kwa ukubwa wa Bwana Albert hukupaswa kutupa vitu viwili tu ambavyo ni very common katika ulimwengu wake;

Next time zitendee haki MB zangu tafadhali...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi Guys!

Wengi tunamfahamu Albert Einstein kwamba alikuwa scientist na hakuishia kuwa scientist tu pia alikuwa ni genius na smart sana. Alifanya mambo makubwa katika field yake na aligundua formula ambazo zimekuwa msaada sana katika sayansi. Mfano ile formula ya E=mc² mpaka leo hakuna derivation yake lakini inatumika na ni msaada sana kwenye tasinia ya sayansi, Einstein hakutoa derivation ya hiyo formula hivyo inatumika kibishi hivyohivyo na inaleta matokeo.

Mnamo April 17, 1955; Albert Einstein alipata tatizo la kuvuja damu ndani kwa ndani linalosababishwa na rapture kwenye ateri yake. Madaktari walipouchunguza mwili wake walisema upasuaji pekee(surgery) ndio unaoweza kuokoa maisha yake.

Lakini Albert Einstein alikataa kufanyiwa upasuaji. Einstein alisema " It is tasteless to prolong life artificially, i have done my share it's time to go". Akiwa na maana kwamba haina maana kulazimisha maisha, wakati wake umefika wa kuondoka.

Kabla ya Einstein kufariki alisisitiza wasifanye uchuguzi wowote kwenye mwili wake. Einstein aliogopa wasije wakamchunguza wakauchukua ubongo wake.

Kesho yake Einstein alifariki hospitalini, ilikuwa ni tarehe 18, April 1955. Thomas Harvey, a pathologyst alipewa kuuangalia mwili wa Einstein.

Lakini Harvey aliuiba ubongo wa Einstein kwa siri na kutoweka nao. Harvey aliufanyia uchunguzi kwa muda wa miaka 40 mizima na baadae aliamua kufichua siri kwamba yeye ndiye aliyeuiba na aliwakabidhi wanasayansi ubongo huo.

Wanasayansi walipouchunguza ubongo wa Einstein walishtushwa na ubongo wake ulivyo. Ubongo wa Einstein ulikuwa na 17% more neurons, ukilinganisha na mtu wa kawaida, na hii imesababisha synapses kuwa fired kwenye ubongo wa Einstein, hii ilikuwa inaupa ubongo wake nguvu zaidi.

Wanasayansi walipouchunguza zaidi ubongo wa Einstein waligundua ubongo wake ulimiss wrinkle inayoitwa Parietal Operculum. Hii ilisababisha ukubwa wa Parietal Lobe uongezeke kwa 20% ukilinganisha na mtu wa kawaida. Hili eneo linahusika na Math skills na Mental images. Hii ilimwongezea uwezo wa kufikiri.

Historia ya Albert Einstein ni ndefu na alifanya mambo mengi makubwa na ya kushangaza. Leo tumeangalia tu sababu ambazo huenda zilimfanya Albert Einstein awe genius na smart.

View attachment:

Sent using Jamii Forums mobile app

Boss umeongea sehemu ndogo mnoo ya Huyu Nguli wa Mahesabu duniani. Kiufupi ukicho post ni muhtasari wa yale aliyofanya Bwana Enstein

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Wakati bongo nyengine zikichukuliwa kuchunguzwa,bongo zetu wengine Ni halali ya funza hata hawazitaki😂😂

Aliponiacha hoi Albert ni space bending!!!!!
Hapo huyu jamaa namnyooshea mikono na swala la time travel nalo si la kitoto he's the real picture of genius..

Wapo watakaokuja kumlinganisha na watu wengine najua huwa hawakosekani.. zitaibuka theory hapa mpk basi bado hajaletwa Tesla na Nani nani huko😂
Ila jibu ni moja tu kila mtu na mchango wake afanye anachokiweza.
 
Wakati bongo nyengine zikichukuliwa kuchunguzwa,bongo zetu wengine Ni halali ya funza hata hawazitaki

Aliponiacha hoi Albert ni space bending!!!!!
Hapo huyu jamaa namnyooshea mikono na swala la time travel nalo si la kitoto he's the real picture of genius..

Wapo watakaokuja kumlinganisha na watu wengine najua huwa hawakosekani.. zitaibuka theory hapa mpk basi bado hajaletwa Tesla na Nani nani huko
Ila jibu ni moja tu kila mtu na mchango wake afanye anachokiweza.
Kwangu mi siwezi kumlinganisha na Bondia wangu maana naona itakuwa uzito tofauti kabisa.

Albert(middle ) VS Newton (heavy weight)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss umeongea sehemu ndogo mnoo ya Huyu Nguli wa Mahesabu duniani. Kiufupi ukicho post ni muhtasari wa yale aliyofanya Bwana Enstein

Sent from my iPhone using Tapatalk
Yap sijazungumzia historia yake kamili, nmeongelea part yake tu baada ya yeye kufariki na jinsi walivyochunguza ubongo wake. Historia yake ni ndefu lakini mimi ni mvivu wa kuandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Albert alikuwa kiboko kuliko Newton kasome Manhattan project utaelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom